have me baby
Member
- Apr 7, 2011
- 8
- 0
mimi naishanga sana tena sana hasa hii serekali yetu,kwanini wanawasumbua hivi hawa wazee estiafrika kwanini hawawapi hizo pesa zao jamani,kilasiku wanawazinguatu hembu nisaidieni jamani KWANINI?wazee wamechoka jamani wapeni haki yao....PUMBAVU.