dah hii inauma sanaaaa kuhusu NSSF

dah hii inauma sanaaaa kuhusu NSSF

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
mimi ni moja wa vijana tuliotoka mikoa ya mbali kuja kufanya intervies nssf... ila kuja kujua wanaitana kindugu na nimetoka mbaliii nimesikitika sanaaa... ushauri wangu ni kuwa siku nyinginee waweke vigezooo vya unduguuu kama added advantage sitolaumuu... vijana wengi hawana ajira wala kipato kuwatoa mikoani uje uwape ndugu, marafiki na watoto wa vigogo wa nssf ni ukatili sanaa.. kuweni na huruma na utendaji mzuri wa kaziii kama maadili yanavyotakaaa... na mlivyo wasiriii ni vigumu kwa watu kuwaumbua ila mngetoa shortlist naamini mngeumbuka sanaaaa zaidi ya uhamiajiii... hili ni shirika la mfuko wa wana nssf na sio jamiii
 
Jamani vijana tukimbilie wapi? Tanzania inazidi kutubana kila kona. Sasa mafukara ndo watabaki kuwa mafukara milele coz tukisema kujiajiri mikopo ipo wapi? Wangetenga hata fungu dogo kila mwaka watoe mitaji kwa vijana 20,000 na hili linawezekana kabisa. Kwann zinapatikana 78 bilion za kugawana ila 20 bilion zikosekane kuinua uchumi wa vijana ambao wanaishi ktk maisha duni!?
 
WEWE NI mgeni kwenye usakaji wa ajira. Itunze hii post ya jamaa utakuja muelewa

hata kama ni mgeni suala la kutaka ushahidi liko pale pale ndiyo mana mnakosa kazi halafu mnaanza kulalamika lete ushahidi hapa,mnajibu maswali hovyo kwenye interview bdae mnaanza lalamika.
 
nani hana kazi. vitu tumia akili ya kuzaliwa
 
unasema wanaitana kindugu na wewe umetwa na bado una lalamika...!
 
Lakini kweli wangekua wanatoa shortlist wangekua wanaumbuka sana hawa
 
mimi ni moja wa vijana tuliotoka mikoa ya mbali kuja kufanya intervies nssf... ila kuja kujua wanaitana kindugu na nimetoka mbaliii nimesikitika sanaaa... ushauri wangu ni kuwa siku nyinginee waweke vigezooo vya unduguuu kama added advantage sitolaumuu... vijana wengi hawana ajira wala kipato kuwatoa mikoani uje uwape ndugu, marafiki na watoto wa vigogo wa nssf ni ukatili sanaa.. kuweni na huruma na utendaji mzuri wa kaziii kama maadili yanavyotakaaa... na mlivyo wasiriii ni vigumu kwa watu kuwaumbua ila mngetoa shortlist naamini mngeumbuka sanaaaa zaidi ya uhamiajiii... hili ni shirika la mfuko wa wana nssf na sio jamiii

Jinsi ulivyoaandika tu kama mimi nnakupa interview ujuwe ume fail.

Una ushahidi wa uyaandikayo au imekuuma kukosa?
 
mimi ni moja wa vijana tuliotoka mikoa ya mbali kuja kufanya intervies nssf... ila kuja kujua wanaitana kindugu na nimetoka mbaliii nimesikitika sanaaa... ushauri wangu ni kuwa siku nyinginee waweke vigezooo vya unduguuu kama added advantage sitolaumuu... vijana wengi hawana ajira wala kipato kuwatoa mikoani uje uwape ndugu, marafiki na watoto wa vigogo wa nssf ni ukatili sanaa.. kuweni na huruma na utendaji mzuri wa kaziii kama maadili yanavyotakaaa... na mlivyo wasiriii ni vigumu kwa watu kuwaumbua ila mngetoa shortlist naamini mngeumbuka sanaaaa zaidi ya uhamiajiii... hili ni shirika la mfuko wa wana nssf na sio jamiii

Hukuzaliwa na hukusoma ili uje kufanya kazi Nssf. Tafuta kwingine si uwezo na sifa unazo?..wewe umekua nani ndio mpaka upewe kazi hata kama umeshindwa usaili?
 
Back
Top Bottom