Dah!!!Hayawi hayawi ........

Nchi zote za viwanda, huwa zinapenda kuangalia SHILAWADU. Kwahiyo na sisi acha tuwatangaze shilawadu ili tuwe nchi ya VIWONDER.
 
Nchi zote za viwanda, huwa zinapenda kuangalia SHILAWADU. Kwahiyo na sisi acha tuwatangaze shilawadu ili tuwe nchi ya VIWONDER.
Maskhara!!!V~wonder wamaanisha maajabu ya tano ya dunia???
Ingekuwa afadhali kama kupoteza muda kunaathiri maisha yake mwenyewe hatari ni kwamba anaathiri watu 50,000,000+ na kizazi kijacho pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…