Dah!!!Hayawi hayawi ........

Limebaki jambo moja tu huyu dogo Makonda ajiondokee tu zake taratibu
Umekosea,sio Makonda kwani kwa mujibu wa tour hii

Ni Daudi Bashite kutoka Koromije na wanasema aondoke bila hata lapa la bata kwani vitu vyote vinavyoonekana ni vyake alivikuta Darisalama na Darisalama ina wenyewe wakiongozwa kwa ridhaa yao na UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…