lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,383
Wakuu nawasalimu.
Dah! Leo ndio nimepatikana, hapo juzi kati katika katiza zangu mitaa ya home nikakutana na kabinti fulani ka kiislam kakiwa kamejitanda vyema,pia kamejaaliwa.. Basi na mitamaa yangu nikabonga nako sababu nilikua mitaa ya home, nikamkaribisha apafahamu. Then akaenda zake, japo hakuniachia namba sababu anadai yupo Grounded(chini ya uangalizi) hivyo kanyang'anywa simu na mzee wake.
So akaahidi atakuja anyday kunipa hi, Sasa leo mchana kaibuka kwa surprise home, nikamkaribisha baada ya mawili matatu, nikawa nataka nigegede. Ile nataftiza tundu la mkate mara ghafla akaniambia nisubiri aniambie, sasa mimi nikawa race kwasababu nlikua na usongo nae balaa.
Akanisisitiza nitulie anieleze kwanza, nikaamua kumsikiliza, akaniambia akifanyaga mapenzi hua anaumia sana sehemu X kwasababu ana jini mahaba na aligundulika toka binti. Kiukweli mzigo ulinywea kwanza then nikatulia, huku akinieleza mengi. Sasa wakuu au wataalamu wa hizi mambo hebu niambieni, kunamadhara yoyote kuingilia goma la jini mahaba au hakuna issue yoyote.
Maana hapa kichwa kimeganda aisee.
Msaada tafadhali, doh!