moodykabwe JF-Expert Member Aug 16, 2015 625 602 May 2, 2016 #1 Hebu tujadili hili la costal jamani kushuka daraja
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,226 116,839 May 2, 2016 #2 Mbona sio jipya ? wanashuka na kupanda
moodykabwe JF-Expert Member Aug 16, 2015 625 602 May 2, 2016 Thread starter #3 The Boss said: Mbona sio jipya ? wanashuka na kupanda Click to expand... Ni kutokana na ushukaji wao uko hovyo sana
The Boss said: Mbona sio jipya ? wanashuka na kupanda Click to expand... Ni kutokana na ushukaji wao uko hovyo sana
Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 22,525 23,378 May 2, 2016 #4 Ilishuka daraja Marseille na Juventus, itakuwa Coastal Union?
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 May 3, 2016 #5 Tatizo lao walikamia yanga ,simba na azam nyingine wakawa wagawa pointi.