Emmanuel paul mboya Member Joined Oct 10, 2019 Posts 12 Reaction score 18 Oct 12, 2019 #1 Wadau ,kwanini dagaa wa mwanza wana michanga sana?
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Oct 12, 2019 #2 Emmanuel paul mboya said: Wadau ,kwanini dagaa wa mwanza wana michanga sana? Click to expand... Wanakaushwa mchangani. Waoshe kwa maji ya vuguvugu kwa kutekenya matumbo yao
Emmanuel paul mboya said: Wadau ,kwanini dagaa wa mwanza wana michanga sana? Click to expand... Wanakaushwa mchangani. Waoshe kwa maji ya vuguvugu kwa kutekenya matumbo yao
Prem 96 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2019 Posts 607 Reaction score 1,972 Oct 12, 2019 #3 Ukitaka dagaa wasio na mchanga nenda kirumba sokoni uulizie dagaa wa bwiru