DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
Wakubwa
Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja
Mkifungua utani threadingKwa dar tunakaribia fungua ofisi mwez ujao vumilia kidogo
Kilo 3 mpaka kilo 4 mkuu
Dhana yako ni tofauti, kwani jimbo la Nyamagana na Ilemela yote ni sawa kuyaita jimbo Mwanza??Hakuna dagaa wa bukoba ila wapo dagaa wa ziwa victoria. Avuliwe bukoba, ukerewe au mwanza wote ni hao hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wateja wa dar changamkieni mzigo upo hapa jijiniDar tumefika , ila dagaa wa bukoba wameisha wamebaki wa Mwanza kg tunauza kwa 4500 karibuni sana mzigo umebakia gunia 8 zenye ujazo wa kilo 65@ moja.
Mkuu hawa wanakuwa wameshakaangwa??Dar tumefika , ila dagaa wa bukoba wameisha wamebaki wa Mwanza kg tunauza kwa 4500 karibuni sana mzigo umebakia gunia 8 zenye ujazo wa kilo 65@ moja.
Tanga mjini mnapatikana wapiWateja wa Dodoma tayari mzigo umeingia!
Habari zenu wadau wa J Forum popote mlipo,mie ni mjasilia nauza Sato Tsh 9000 per 1kg na Sangara Tsh 6000 per 1kg.Tupo Mwenge na samaki wetu ni wazuri Sana,Jumla ni kuanzia kilo tano na bei inapungua,Sehemu yoyote Kwa dar tuna deliver,utachangia kidogo ya usafiri.karibu saana tukuhudumie,Contact.. 0767440210.Mzigo umeingia karibuni
Kaka, niko Arusha natafuta stoo ya dagaa: 0629 255 667. Naomba tuwasiliane.Safi Mkuu...mi Niko Arusha...Nina stoo unaweza kuweka gunia hadi 30 za Dagaa...stoo iko sokoni ,kama yupo mwenye mzigo anataka kuleta Arusha njoo pm, unaweka mzigo wako unauza mwenyewe au nakuuzia Mimi kwa makubaliano rahisi tu...
Maana najua Watu wako mwanza wana mzigo na wanatamani kuleta arusha ila hawana pa kuufikishia.sasa hiyo shida imeisha tuwasiliane stoo utapata ...na pa kuuzia mzigo wako utapata.
Karibu.