Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Eti sh.ngapi huko uliko,kwa kisado?
kilo elf kumi
Nipo dom.nawakubali sana ila kiukweli sijawahi kuwaona pande hizi
sumbawanga wanauzwa tzs 12,000 kwa kilo. ila mbona wabaya kwangu! kwanza huwezi kuelewa kama ni dagaa au samaki. pili ni wagumu kuiva. binafsi siwapendi

Hawa Dagaa kama huwezi kuwapika utawachukia sana lakini ukiweza kuwapika maisha ni murua hawapikwi kama dagaa wengine wenyeji wa mkoa wa Ruvuma wanalijua hilo, lazima uwaloweke na walowane sana kama umechelewa kuwaloweka wachemshe hadi walinike, (na ukiwa unawaloweka weka na chumvi kabisa) weka tui la karanga au Nazi halafu kula na wali, huku songea sado (sawa na kilo 4) shs 5,000/=
Hivi kisado kile wanafika kg 4? Mbona ni kama mgodi utembeao hivi kwani dar n ni 10000 per kg!!
Hawa Dagaa kama huwezi kuwapika utawachukia sana lakini ukiweza kuwapika maisha ni murua hawapikwi kama dagaa wengine wenyeji wa mkoa wa Ruvuma wanalijua hilo, lazima uwaloweke na walowane sana kama umechelewa kuwaloweka wachemshe hadi walinike, (na ukiwa unawaloweka weka na chumvi kabisa) weka tui la karanga au Nazi halafu kula na wali, huku songea sado (sawa na kilo 4) shs 5,000/=
true songea sado 5000 ila hufika hadi 8000. tume pesa utumiwe mzigo superfeo
Ukitia karanga mbona maisha super u know!!Kudadeki inawezekana sijapata wa kuwapika ipasavyo...ukila wako kama unatafuna mbao...