Naomba useme wamekaangwaDagaa fresh kabisa toka Mwanza kwa mahitaji ya jumla la Reja reja unapana tupo mbezi goba (kwa ndambi)
Sado 1 tsh 22,000
Sado 2 tsh 42,000
Ndoo kubwa 85,000
Tunasambaza pia kwenye supamarkets na mabucha ( package na Bei tunanegociate)
Pia Kuna size ndogo ya 3,000 na 5,000
Karibu dagaa Nono watamu walioandaliwa vizuri na wakatiwa viungo.
Contact 0715053339 watsap
0682865155
Mikoa yoote tunakutumia kwa uaminifu mkubwa
Karibuni wapendwa tujifaidie dagaa😋
Jibu hapa ndugu hata mm wamenivutia hao dagaaa.Unapatikana wapi na utaratibu wa malipo ukoje...?
Goba ( kwa ndambi)mbezi dar es salaamUnapatikana wapi na utaratibu wa malipo ukoje...?
Goba ( kwa ndambi)mbezi dar es salaam
Twaweza kukuletea pia kulingana na ulipo ama tukakuelekeza unapoweza zipata kwa urahisi kwenye baadhi ya mabucha na supamarkets kwa dar na mikoani pia tunakutumia mkuu
0715053339
Kwan we unahitaji wabichi au walio kaangwa me ninauza kauzu wasafi hawana michanga kabisaTatizo kubwa la Wauzaji na waandaaji wa hizi dagaa
Huwa hawawasafishi vizuri, huwaacha na uchafu
Mafuta yatumikayo huwa si masafi
Dagaa hawakauki vizuri hivyo hutoa harufu endapo watakaa muda mrefu
Yakirekebishwa hayo mengine dagaa huwa wazuri sana