M mr.molel Member Joined Aug 22, 2014 Posts 53 Reaction score 9 Aug 23, 2014 Thread starter #21 RockSpider said: Mchakato unaanza lini ? Click to expand... mwezi wa tisa kamanda lakini usiende mwenyewe nenda namajirani na familia yako nk.
RockSpider said: Mchakato unaanza lini ? Click to expand... mwezi wa tisa kamanda lakini usiende mwenyewe nenda namajirani na familia yako nk.
madam d JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 477 Reaction score 135 Aug 23, 2014 #22 Gud, hata mm japo si kijana ila nitaenda. Am waiting it sana!!!
M masonic Member Joined Jul 27, 2014 Posts 68 Reaction score 21 Aug 23, 2014 #23 madam d said: Gud, hata mm japo si kijana ila nitaenda. Am waiting it sana!!! Click to expand... mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikishe Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
madam d said: Gud, hata mm japo si kijana ila nitaenda. Am waiting it sana!!! Click to expand... mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikishe
madam d JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 477 Reaction score 135 Aug 23, 2014 #24 masonic said: mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikishe Click to expand... Sawa sawa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
masonic said: mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikishe Click to expand... Sawa sawa.
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,129 Reaction score 3,673 Aug 23, 2014 #25 Uzi kama huu huwezi ona misukule ya lumumba ikitia pua,yenyewe imezoea vya kunyonga na sasa inawaza namna ya kuvuruga zoezi,kununua shahada na kuiba kura tu
Uzi kama huu huwezi ona misukule ya lumumba ikitia pua,yenyewe imezoea vya kunyonga na sasa inawaza namna ya kuvuruga zoezi,kununua shahada na kuiba kura tu