Magomamh'ingo
Member
- Jul 11, 2015
- 31
- 6
Wakuu nipo kituo cha kujiandikisha daftari la kupigia kura. Nimefika saa Nane na dakika kumi, nimekuwa mtu wa 40! Mpaka muda huu tayari kuna watu takribani 150! Nipo Kisiwani shule ya msingi, Kigamboni Dar es salaam. Vip huko kwenu?