Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Kipimo mwatupimia,
Sifa mnatutajia,
Za yule mwatamania,
Kila tukiangalia,
Vijana tumefulia,
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
da mashairi sijui lakini hapa napata picha wanaongelewa binamu Fidel80 Na Geoff
Hadithi inayokuja ni ya sungura sikia
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia
Njaa aliposikia , Sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda, porini kutemblea
Akayaona matunda ,mtini yameenea
Sungura akayapenda, mtini akasogea
Mtini akasogea, sungura nakuambia
sizitaki mbichi hizi sungura akagumia
naona nafanya kazi bila faida kujua
yakamtoka machozi matunda akalilia
matunda akalilia sungura nakumbia
Kumbe bado tunakumbuka hehehe
jamani mbona mnakwenda auti ofu perimeta?, mambo ya sungura mjanja tena!, Lol.
twambieni jamani ZD,FL1,BHT, na wengineo, KWANINI MWATUKWAZA??
[/QOUTE] Twabaki twatamania,
Kama sungura wa hadithia,
Ya ndizi alizochukia,
Kwa kukosa kufikiaHadithi inayokuja ni ya sungura sikia
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia
Njaa aliposikia , Sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda, porini kutemblea
Akayaona matunda ,mtini yameenea
Sungura akayapenda, mtini akasogea
Mtini akasogea, sungura nakuambia
hahaaaa PakaJImmy bana
Hahahaaa,shemeji bana,tumeumbwa kwa ajili hiyo ya kuwakwaza.Si unakumbuka eva alimkwaza Adamu akampa tunda.Yani mama etu katurithisha tabia mbaya.jamani mbona mnakwenda auti ofu perimeta?, mambo ya sungura mjanja tena!, Lol.
twambieni jamani ZD,FL1,BHT, na wengineo, KWANINI MWATUKWAZA??
sizitaki mbichi hizi sungura akagumia
naona nafanya kazi bila faida kujua
yakamtoka machozi matunda akalilia
matunda akalilia sungura nakumbia
Kumbe bado tunakumbuka hehehe