tabia mbaya wewe utakuwa unatabia ya kupiga chabo watu wewe ,tabia yako inaonekana hata ulipopost hii thread,umekaa pembeni ukampiga picha dada wa watu.mbona ka kaa vizuri tu kwa raha zake me sioni shida hapo.
Mbona sioni kama kuna tatizo katika ukaaji wake na ata uvaaji wake!!!!!! Ni hisia mbaya tu!!!!!!!!!!!!! Utakamatwa siku moja kupiga picha watu bila idhini yao,ni kosa kisheria.