Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

tusidanganyane bana.
wewe watoto wako wanakula maisha tu hawali hela enh!!
wanasomea maisha na sio pesa!!
kwako maisha ni kuwa nyumban kusubiri kumvua mwanaume viatu enh!!

sasa ni kwambie umenoa tena kwa kinoo butu ma bro!!
hapa mapenzi motomoto anapata na pesa natafuta.
muda wa penzi ni wa penzi hata nikijiskia kumbeba kumpeleka bafuni.
kumfunikia chakula na kawa, kumkalisha mkekani,
nikijiskia namrembea ubwabwa ukiona utauliza mboga iko wapi.
kumbe mtoto wa kichaga mboga iko katikati ya kichuguu cha wali
ukikifunua unakutana na pande la kuku na ngogwe zake.
kitandani vibrashen mwanzo mwisho, ashindwe yeye tu

lakini wakati wa kusaka nasaka chapaa, udongo wa kisomali unahusu hapa mjini babuu
pande la papa sasa hivi sh 2000 unafikiri nisipojibidiisha kusaka udongo wa kisomali nitamfaidije mume wangu??
mume halishwi urojo na kisra ukategemea usiku akupe dozi.
mume hanyweshwi juice ya ukwaju na maamri ukategema akupe dozi.
mume zake supu, na nyama/samaki za ktosha. kisha umpe ugali/wali na mboga ya maana, maytunda na mboga za majani muhimuu. ukimaliza lazima awe ma kinywaji achangamshe mwili iliwezekana hata whisk kidogo asip ndipo umpe mambo..

acha zako za kuniambia eti maisha mbele pesa nyuma, ukasahau hayo maisha yanarembwa na pesa.

utamlaza mume kwenye shuka wiki, taulo aogee wiki hilohilo kisa maisha!! ............pesa babu inakuwezesha taulo afuliwe kila iitwapo leo, shuka kadhalika kitamba cha shughuli kifuliwe kila siku na kupigwa pasi.
hebu kwanza ninyamaze mie manake naona nawakuza wale wadogo.
Mambo yenyewe kama ndio haya hapa basi dada shukran sana na nitatafuta mke huko Machamilo, Machame sijui Palestina. Umenifurahisha sana
 
this discussion is boring, haina advantage yoyote kwenye maisha ya kila siku, aliyepotea kapotea, aliyeingia mlango sahihi, bahati yake.....mwenye akili kanielewa, poyoyo atazubaa hapa
 
Hi!

Ukipata mchumba hasa mmachame wanafamilia wanakuwa wagumu kubariki mahusiano yenu.Hii imetokana na baadhi ya jamii kutendwa baada ya kuoa wachaga.Lakini naamini kuna baadhi ya dada zangu wa kichaga ni wema kabisa na wanamtegemea Mungu na upendo wao unaweza kufuta mabaya yaliyojengeka ktk jamii zetu kwa vizazi vilivyopita.

Hapo awali wanaume wa kikurya walikuwa wanaogopwa na mabinti wengi sana kwa sababu ya kutoa kichapo lakini siku hizi baada ya jamii kuona baadhi ya wadada wameolewa na watu hao na wamepewa mapenzi ya dhati jamii imewakubali.Leo hii ukipata mchumba wa kikurya halafu ukampeleka nyumbani anakubalika.

Hivyo dada zangu jisafisheni kufuta mfumo dume uliojengeka ktk jamii pia mnaweza kutujuza tatizo liko wapi mpaka jamii inaogopa?

Kudadadeki, mimi na kuoa demu wa kichagga, aisee Yesu...yaani hata uniwekee sime shingoni siwataki hata. Labda wa kuchapa tu na kuingia mitini lakini wa kuishi naye, nooooooooooo. Nasalimu amri.
 
sio matunda tu sema matunda matamu je ulishawahi ona mlimao ukipigwa mawe??????? hebu wanaume /vyasaka mliiooa wachaga hasa wa machame njooni msafishe wake zenu humu na kama ulipomtambulisha kwenu walikataliwa njooni mseme .nimehudhuria harusi nyingi sana sana toka mwaka hata ishirini zinafika za wanaume makabila ambao sio wachaga ni mmja tu alimuoa mnyakusa the rest nilikuta wanawake wa kichaga tena wamachame ndio wengi .sasa njooni mseme huwu mtoa mada anaota au???

huyu jamaa ni mshamba huyu...kwanza ana hadhi gani ya kutembea na sisi?

mmh yaani sijui hata niseme nini juu ya hili

speachless

Hilo la kwanza.......la pili ana hela.......? Hatuolewi na wanaume sarawili sisi.......

wachaga wanajua hivi
mahitaji muhimu sana ya binadamu kwa wachagga
1,hewa safi ya oksijen
2.malazi
3.chakula na maji
4.ELIMU

mahitaji muhimu sana ya binadamu kwa makabila mengine
1,hewa safi ya oksijen
2.malazi
3.chakula na maji
4.NGONO

Hapo ndipo tofauti ilipo NIMEKWAMBIA IF IKISHINDIKANA NI bora mangi wa kioski sasa usishindane inawezekana a ikafail b ikafanikiwa ??

wachaga tunasakamwa sana kila sekta

La tatu anajiamni ?................. mwanume kujiamini bana sio unakaa hapa kulia lia wacchaga sijui hili cijui lile ,cmon act

like a men ndio utaona faida ya kuwa na binti wa kichaga

Na bado mtaweweseka sana kila idara tuko fiti kuanzia elimu ,kutafuta hela na kutunza familia ndio maana hatuachiki hovyo ,sio kama huko kwao mwanamke anaolewa na kuachika mara saba ,halafu bado wanajinadi eti wanajua mapenzi ....................mapenzi my foot! Shenzi taipu

Jamani sijui nilikuwa wpai hii mada hadi ikanipita kushoto.

Kwanza naomba niseme wazi mm ni mpalestina nimeolewa mwaka wa 13 sasa na nina watoto 4 wote wa kiume.
Katika familia niliyozaliwa kuna watoto wakike 5, 3 wameolewa na mwenye ndoa ya miaka michache sana ni miaka 3. na wengine 2 bado hawajaolewa ni umri bado.

kati ya tulioolewa sio wote tumeolewa na wachaga lakin pia sio kwamba shemeji zetu vyasaka wanajuta. Mume wa dad yanu mkubwa ni MUHA mtu wa kigoma huyu huwaga anasemaga wazi kwamba anajuta kwann hata kaka zake hawakuoa uchagani tena machame manake akiona ndoa zao zinavyoteseka maendeleo duni, maisha ya kila siku ngomani wakati akija huku mkewe ni mfanyakazi anatafuta hela kama kubota maisha kwake ni ya kisasa mchaga huyu hela kwake alikutana nayo njia panda.

kwangu naweza kusema bidii na juhudi za mwanamke wa kichaga huwafanya wanaume goigoi kuogopa na wengine kukimbia kabisa ila ukitaka kujua utamu wa binti wa kichaga basi mwoe awe mkeo.

tusidanganyane bana.
wewe watoto wako wanakula maisha tu hawali hela enh!!
wanasomea maisha na sio pesa!!
kwako maisha ni kuwa nyumban kusubiri kumvua mwanaume viatu enh!!

sasa ni kwambie umenoa tena kwa kinoo butu ma bro!!
hapa mapenzi motomoto anapata na pesa natafuta.
muda wa penzi ni wa penzi hata nikijiskia kumbeba kumpeleka bafuni.
kumfunikia chakula na kawa, kumkalisha mkekani,
nikijiskia namrembea ubwabwa ukiona utauliza mboga iko wapi.
kumbe mtoto wa kichaga mboga iko katikati ya kichuguu cha wali
ukikifunua unakutana na pande la kuku na ngogwe zake.
kitandani vibrashen mwanzo mwisho, ashindwe yeye tu

lakini wakati wa kusaka nasaka chapaa, udongo wa kisomali unahusu hapa mjini babuu
pande la papa sasa hivi sh 2000 unafikiri nisipojibidiisha kusaka udongo wa kisomali nitamfaidije mume wangu??
mume halishwi urojo na kisra ukategemea usiku akupe dozi.
mume hanyweshwi juice ya ukwaju na maamri ukategema akupe dozi.
mume zake supu, na nyama/samaki za ktosha. kisha umpe ugali/wali na mboga ya maana, maytunda na mboga za majani muhimuu. ukimaliza lazima awe ma kinywaji achangamshe mwili iliwezekana hata whisk kidogo asip ndipo umpe mambo..

acha zako za kuniambia eti maisha mbele pesa nyuma, ukasahau hayo maisha yanarembwa na pesa.

utamlaza mume kwenye shuka wiki, taulo aogee wiki hilohilo kisa maisha!! ............pesa babu inakuwezesha taulo afuliwe kila iitwapo leo, shuka kadhalika kitamba cha shughuli kifuliwe kila siku na kupigwa pasi.
hebu kwanza ninyamaze mie manake naona nawakuza wale wadogo.

Watuache tupumue kina Mankalicious jamani:))

Girls....... Am proud, happy, and glad to have you as my sisters.

Yesu Kristo aliwahi kusema nabii hakubaliki nyumbani..... Nami nawaambia msikatishwe tamaa. Amin Amin nawaambieni, kama ingekuwa Yesu azaliwe Africa, basi angekuwa Mchagga.

Kama wanachonga sana juu yenu, na kama wanawaogopeni kihivyo kwa visingizio vyenye chembe za "wivu wa kike" (samahani kama nimewakwaza).........kwani nini bana..... hata watoto wa Adam na Eva walioana wao kwa wao. Kaka zenu tutawaoa na kuwaoa na kuwaoa tena. na kama haitoshi na dada na mama zao tutawaoa vilevile kwa kuwa sie kaka zenu hatuwaogopi na hatuna cha kupoteza.

Msisahau kuhiji Moshi, December inakaribia.
 
Kuna demu mmoja alikuwa anajiapiza kwamba hawezi kuwa na bwana Mhaya.

Akaja mshkaji wetu, smooth operator mmoja akamchukua kiulainiii. Guess smooth operator kabila gani?

Muhaya!

In defense of "wadada wa kichaga" wenye nia nzuri.

Kuna dada mmoja wa kichaga, smart but humble, goal getter.

Kaolewa si zamani sana. Msichana ni shapu katika kutafuta maisha kasaidia mpaka kumhamasisha mume wke ku step up career wise. Mume alikuwa ana kazi nzuri lakini kazini kwao mambo hayaeleweki, ikawa kila siku bidada kazi yake yeye kutuma ma application tu sehemu mbali mbali, mpaka jamaa akaja kupata kazi nzuri zaidi yenye mshahara mara tatu ya ule wa kwanza.

Dada wa kichaga huyo.

Sasa hizi habari za kuwalundika watu weengi wa kabila katika kundi moja ni upuuzi tu.

Tabia ya mtu inategemea mambo mengi, si kabila tu.

Kaka na ndugu yangu.... Hakika nakuambia huwezi kuwa na busara zaidi ya hii.

Mungu akubariki kwa ukweli na uwazi wako.
 
Girls....... Am proud, happy, and glad to have you as my sisters.

Yesu Kristo aliwahi kusema nabii hakubaliki nyumbani..... Nami nawaambia msikatishwe tamaa. Amin Amin nawaambieni, kama ingekuwa Yesu azaliwe Africa, basi angekuwa Mchagga.

Kama wanachonga sana juu yenu, na kama wanawaogopeni kihivyo kwa visingizio vyenye chembe za "wivu wa kike" (samahani kama nimewakwaza).........kwani nini bana..... hata watoto wa Adam na Eva walioana wao kwa wao. Kaka zenu tutawaoa na kuwaoa na kuwaoa tena. na kama haitoshi na dada na mama zao tutawaoa vilevile kwa kuwa sie kaka zenu hatuwaogopi na hatuna cha kupoteza.

Msisahau kuhiji Moshi, December inakaribia.

Umeandika kishabiki mpaka unakera. Binafsi nina rafiki yangu wa kichaga ambaye Mungu akitujalia nitamuoa. Nitamuoa si kwa kuwa ni mchaga la hasha, ni kwa sababu ninaamini huyo ndiye niliyepangiwa na Mungu. Kwangu mwanamke ni mwanamke bila kujali kabila, utaifa au rangi japo kuna tofauti za kiutamaduni na malezi lakini nafasi ya mwanamke itabaki kuwa yake kimajukumu na kwa mwanaume vivyo hivyo. Najua kila kabila lina matatizo yake lakini ukishinda kumcontrol mkeo kwa kushindwa kutimiza majukumu yako utabaki kulaumu kabila, koo au familia atokako mwanamke.
 
Kama Vipi acha 2OANE WENYEWE wachagga Ndo 2nawezana.... Kuna Makabila Zaidi ya 120 hapa TZ xo Girl 4rm MaCHAME they are Xo Cute...KAMA ILIVYO MTI WENYE MATUNDA NDIO HUWA UNAPIGWA MAWE..
SO guyS Stop thiS mOB...

Ha ha haa wale wale, Wachaga badilikeni mnaboa sana!
 
Nakumbuka mwaka 2010 kwenye basi la mwenge kariakoonilikaa na jamaa mmoja hivi simjui wala nin tukaanza piga stori tu za hapa na pale haasa baada ya kijana mmoja ambaye kimuonekano alikua ni mchagga daah aisee stori zilivyoeendelea jamaa akanisimulia jinsi mke wake anavyopenda mali nin na nin aisee kumbe jamaa alioa mchagga mke mara apekue documents za jamaa, yani full vurugu yani stori ndefu siwezi andika hapa ila mwisho wa siku jamaa alinisihi ktk life nisije oa mwanamke wa huko aisee..the irony is 90% ya wasichana niliokuwa nao wanatokea huko huko..kwa kweli nimeexperience mwenyewe wanawake wa kichagga ni tatizo..!!so jamaa namchukulia kama guardian angel maana kimsingi siku hiyo nilikua na appointment na mtoto mmoja hivi binti swai..daaah hatari sana..!! Wanawake wa kichagga wengi ni wakatili, hawapendi ndugu wa wanaume sana sana mama mkwe..roho mbaya, uchoyo etc..kama hamna mali mapenzi yanakua fresh mkianza pata mali utata unakuja lazima mmoja adanje..huko umachameni mamaza wengi wanaminumba mikubwa lakini waume wamedanja..it cant be a coincidence nusu mtaa waume wafiwe..wao tu..over..

Ha ha haa mie kicheko. In short kabila la Kichaga me nalichukia sana!
 
sio matunda tu sema matunda matamu je ulishawahi ona mlimao ukipigwa mawe??????? hebu wanaume /vyasaka mliiooa wachaga hasa wa machame njooni msafishe wake zenu humu na kama ulipomtambulisha kwenu walikataliwa njooni mseme .nimehudhuria harusi nyingi sana sana toka mwaka hata ishirini zinafika za wanaume makabila ambao sio wachaga ni mmja tu alimuoa mnyakusa the rest nilikuta wanawake wa kichaga tena wamachame ndio wengi .sasa njooni mseme huwu mtoa mada anaota au???

Ha ha haa wale wale! Ukweli utabaki pale pale. In short me siwagusi wamachame wala wameru, me nachanganya wote..wachaga ni vizibo!
 
Mimi si Mchagga ila hili neno la Vyasaka si zuri kulitumia. Nina mpenzi wa Kichagga kwa sasa na kila nikitaka kupenyeza hili jambo kutaka kujua wanawachukuliaje wasichana wa kichagga mzazi wangu amekuwa na mtizamo hasi (Negative attitude) juu ya wachagga.

Lakini kabla ya hapa nilitoa taarifa ya kwamba nilikuwa na msichana ambae katokea ukanda wa huko kwetu, lakini mwisho wa siku haikumature. na ni yeye alikuwa na matatizo.

Nina wakati mgumu wa namna ya kusema nyumbani kuwa kwa sasa nimepata rafiki wa kichagga mtoto wa Kimarangu.
Mi nimemkubali na anamwogopa Mungu.

Naunga mkono hoja wasichana wa Kichagga au wanaume waliooa wachagga wawasafishe wake zao na hii dhana. Nina wakati mgumu hasa pale ndugu wanapokuwa wagumu kupokea mabadiliko.
Wewe sema tu, umepata msichana wa kichaga na anamuogopa Mungu. Hivi unawajua hao watu au unawasikia wewe?
 
makabila mengi huwaogopa wachagga kisa elimu na sio uchagga wao pia wanahofia kuwa wachagga hawana utani kwenye ufujaji wa hela zao usitegemee ukaomba omba ukapewa hela burebure tu lazima uitengenezee invoice sasa wanawadanganya matoto yao ya kiume yaoe vyasaka wenzao ila wawafujie hela hebu angalia viongozi wenye hadhi kubwa na elimu chunguza wake zao ni kabila gani.tatizo sio uchagga wao smile ni elimu ya akili zao zinazoona mbani na zimeshapanuka sana Smile
walikuja na dhahania ohh wachagga wanaume /wanawake hawajui mapenzi sasa hiyo dhana imekufa wameibuka na hili.

Ha ha haa wale wale! Hakuna cha elimu wala nini? In short kabila la Kichaga limetawaliwa na ubinafsi...ubinafsi mpaka kwenye mapenzi...khaa hili kabila nyoko kweli.
 
Wachagga wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
Ukiwa na mali tu lazima uache watoto duniani. Mara nyingi wanaume ndo wanatangulia mbele ya haki.
Labda uoe mchagga aliyechanganya kabila asiwe Pure.

Kweli kabisa wachaga wanaweza wenyewe kwa wenyewe. Kuna jirani yetu hapa ni mchaga na kaoa mwanamke wa mchaga, maisha yao mazuri tu..wanaelewena sana!
 
Acheni kuchangia hii mada kwani kwa kufanya hivyo mnazidi kuwapandisha chati na wataolewa kwa fujo sana. mimi kaka zangu wawili wameoa wachagga, mmoja marangu na mwingine machame. ni mawifi zangu poa kabisa na ndoa zao zipo gado.
Tabia ya mtu haitokani na kabila lake. tumetofautiana. MSIOGOPE WADADA WA KICHAGGA NI POA SANA

Ha ha haa wale wale! Tuliza mshono wewe! Makabila mengine hatuwezi kuoa Wachaga, wataoana wenyewe kwa wenyewe!!
 
Hilo la kwanza.......la pili ana hela.......? Hatuolewi na wanaume sarawili sisi.......

Ha ha haa siuna ona sasa! Mnafiki siku zote hajifichi. Huyu mwenzenu kashasema hawaolewi na watu wasiokuwa na hela...jamani hili kabila limetaliwa na ubinafsi.
 
Mwanaume anayelalamika kwa kumuoa mwanamke wa kichaga ni lazima awe goigoi. Kama wewe mwanaume ni mchapa kazi na mtizamo chanya wa kimaendeleo ni lazima utaishi na mchaga. Ukimletea tabia za kishenzi za uzinzi hutadumu naye kwa kuwa anawajibika kuzalisha na hategemei mali zake zikasake wanawake nje!! Hapa utajuta!! Nilioa mchaga miaka hiyo na kwa sasa no regrets!!! I am who I am because of her!!! Marafiki zangu waliotamani maisha yetu na kuamua kuoa wachagga, nao hawana regrets!! Actual, tuna chama chetu kabisa cha waliooa uchagani, wake zetu ni friends as well!! Sasa anayelalamika ni lazima atakuwa na matatizo. Wanawake wa kichagga ni maendeleo full na wanabalance sana familia na kazi zao. Hawana uswahili kabisa. Finally, arusi nyingi ninazohudhuria ni ama binti ni mchaga 100% au 50% nikimaanisha baba ni mchaga na mama ni kabila nje ya uchagani!!!!! Nenda kafanye utafiti kwa ndoa zote zinazofungwa makanisani (katoliki au lutherani) na chache kwa madhehebu mengine. Ila pia haina maana kuwa hawakosekani walio na malezi mabovu. Kazi kwenu ambao bado mnatafuta ila mke bora na mwema hutoka kwa Mungu.

Ha ha haa wale wale! Hatuzungumzii maendeleo hapa! Yaani hili kabila linatia kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom