VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 786
Mambo yenyewe kama ndio haya hapa basi dada shukran sana na nitatafuta mke huko Machamilo, Machame sijui Palestina. Umenifurahisha sanatusidanganyane bana.
wewe watoto wako wanakula maisha tu hawali hela enh!!
wanasomea maisha na sio pesa!!
kwako maisha ni kuwa nyumban kusubiri kumvua mwanaume viatu enh!!
sasa ni kwambie umenoa tena kwa kinoo butu ma bro!!
hapa mapenzi motomoto anapata na pesa natafuta.
muda wa penzi ni wa penzi hata nikijiskia kumbeba kumpeleka bafuni.
kumfunikia chakula na kawa, kumkalisha mkekani,
nikijiskia namrembea ubwabwa ukiona utauliza mboga iko wapi.
kumbe mtoto wa kichaga mboga iko katikati ya kichuguu cha wali
ukikifunua unakutana na pande la kuku na ngogwe zake.
kitandani vibrashen mwanzo mwisho, ashindwe yeye tu
lakini wakati wa kusaka nasaka chapaa, udongo wa kisomali unahusu hapa mjini babuu
pande la papa sasa hivi sh 2000 unafikiri nisipojibidiisha kusaka udongo wa kisomali nitamfaidije mume wangu??
mume halishwi urojo na kisra ukategemea usiku akupe dozi.
mume hanyweshwi juice ya ukwaju na maamri ukategema akupe dozi.
mume zake supu, na nyama/samaki za ktosha. kisha umpe ugali/wali na mboga ya maana, maytunda na mboga za majani muhimuu. ukimaliza lazima awe ma kinywaji achangamshe mwili iliwezekana hata whisk kidogo asip ndipo umpe mambo..
acha zako za kuniambia eti maisha mbele pesa nyuma, ukasahau hayo maisha yanarembwa na pesa.
utamlaza mume kwenye shuka wiki, taulo aogee wiki hilohilo kisa maisha!! ............pesa babu inakuwezesha taulo afuliwe kila iitwapo leo, shuka kadhalika kitamba cha shughuli kifuliwe kila siku na kupigwa pasi.
hebu kwanza ninyamaze mie manake naona nawakuza wale wadogo.