Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 299
- 311
Imeisha hiyo
Kweli lkn punguzeni machaguo sababu dada angu ktk dunia hii kumpata mwenye hz sif zot ni hadimu sana na kama yupo hawez kuwa wa hazi yako mana mtu mwenye mali yaan magari,elimu nzuri,handsome na good on bed hawez kuw na ww ht cku moja yan wew ni halali yetuMkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...
Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
Sawapangii ila ndio ukweli huoUsitupangie
Jus opinion tu askarUmewachokoza....subiri waje saa hvi wako kwenye mikakati uzi huu ufutwe...
GeniusNi 1% tu ya wanawake duniani wenye ufundi on bed na ambao huwaridhisha wanaume.
Wengi wa wanawake hudhani kukata mauno ndio ufundi, hufikiri throating ndio final weapon kwa mwanaume...kumbe la hasha.
Kwa bahati nzuri, sisi hujiridhisha wenyewe, na hapo wao hupata credet kuwa wanaturidhisha.
Muelewa hawez kuelewa, hii ni kwa magwiji wa vitanda tu[emoji1787]
Kwanini asiwe nami Mkuu?...Hawezi kuwa na vigezo vyoote..Bali vya muhimu atimizeKweli lkn punguzeni machaguo sababu dada angu ktk dunia hii kumpata mwenye hz sif zot ni hadimu sana na kama yupo hawez kuwa wa hazi yako mana mtu mwenye mali yaan magari,elimu nzuri,handsome na good on bed hawez kuw na ww ht cku moja yan wew ni halali yetu
Anawez kuw nawe lakn hutaenjoy ndoa yako.....nahisi hautujui wanaume vzr.Kwanini asiwe nami Mkuu?...Hawezi kuwa na vigezo vyoote..Bali vya muhimu atimize
Huyo alowaita mbwa. Atakuwa alitembea nanyi woteAnawez kuw nawe lakn hutaenjoy ndoa yako.....nahisi hautujui wanaume vzr.
Muulize mwenzio alie tuita [emoji240]
Kuwa uyaoneHuyo alowaita mbwa. Atakuwa alitembea nanyi wote
Kuwa uyaone
Unamiaka mingapi.....Mkuuu..inawezekana nakuzidi.UMRI mbali sana