julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Niache niChat nae
Yaani kwenye daladala ulionaje jinsi mtu anavyochat na anachat na nani? Ningekuwa mie ningekuwa nakutukana kwa kumsimulia kuna mmasai aanachungulia nnachoandika! Khaa!
sio kila msemo unadumu na kutumika kwa kila hali! kuna mazingira ya huo msemo mkuu sio kila kitu wazee mwisho chalinze! kwanza zee hata kuandika lilikuwa linatetemeka, linasifia picha na mapozi ya mrembo soph!Wazee mwisho Chalinze, wa wapi wewe. Mjini ni vijana wa zamani. Kwenye kona kona tuko pamoja.
Hahahaha, ina maana mmasai ndo tusi?
sio kila msemo unadumu na kutumika kwa kila hali! kuna mazingira ya huo msemo mkuu sio kila kitu wazee mwisho chalinze! kwanza zee hata kuandika lilikuwa linatetemeka, linasifia picha na mapozi ya mrembo soph!
King'ast ................................!!!!!!!!!!!!!!!!Yaani kwenye daladala ulionaje jinsi mtu anavyochat na anachat na nani? Ningekuwa mie ningekuwa nakutukana kwa kumsimulia kuna mmasai aanachungulia nnachoandika! Khaa!
Yaaani kichwa na mada tofauti kabisa. Halafu kuchungulia anachoandika mwingine ni kosa 😛eep:mhhhhhhhh mbona hao wazee hujawaasa waheshimu ndoa zao pia
Niache niChat nae
u need to change! yule ni babu yako, unamtesa bibi yako!!!!!!!!!!!!!!