Very good say mkuuHivi mnaosema-ga pesa ndiyo kila kitu mnaishi Dunia gani.
Mfumo wa maisha wa ajabu saana na maisha hayana maana.
Mfano mdogo tu. Ukiwa na njaa unatamani kula na unaweza fanya lolote ili ule ukishakuwa na chakula kingi ukala ukashiba kisha ukaanza kujiuliza hivi purukushani zote za nini zile unajiona mjinga...mwisho ukiwa na chakula kingi cha kukutosha unakosa hamu ya kula.
Mfano mwingine: Ulishaona mwanaume anamsumbua mke wake mzuuuriiii. Hadi unajiuliza huyu mwanaume ni kichaa nini? Hii ni kanuni ya maisha hakuna jipya.
Mfano3. Ukiwa likizo ya kazi... utaichoka likizo kisha utaanza kujiambia yaani nikirudi kazini nitafanya kazi nirakuwa serious na kazi yangu...jipe kamwezi...unatamani tena kurudi likizo.
Mfano 4. Mwanamke anayetaka mwanaume mwenye pesa mpe mwaka tu......motivation factor yake kwa wanaume mwenye pesa itapotea...ataanza kutaka kitu kingine kwa yule yule mwanaume.
Maisha hayana maana.. furahia kwa ulichonacho huku ukiipambania furaha ya kweli.
Essay nzuri ila PESA ndio PESA.Hivi mnaosema-ga pesa ndiyo kila kitu mnaishi Dunia gani.

Namba 4 naongezea na kukazia atataka ambaye hana pesa ili hali amkaze kupata ladha tofauti.Hivi mnaosema-ga pesa ndiyo kila kitu mnaishi Dunia gani.
Mfumo wa maisha wa ajabu saana na maisha hayana maana.
Mfano mdogo tu. Ukiwa na njaa unatamani kula na unaweza fanya lolote ili ule ukishakuwa na chakula kingi ukala ukashiba kisha ukaanza kujiuliza hivi purukushani zote za nini zile unajiona mjinga...mwisho ukiwa na chakula kingi cha kukutosha unakosa hamu ya kula.
Mfano mwingine: Ulishaona mwanaume anamsumbua mke wake mzuuuriiii. Hadi unajiuliza huyu mwanaume ni kichaa nini? Hii ni kanuni ya maisha hakuna jipya.
Mfano3. Ukiwa likizo ya kazi... utaichoka likizo kisha utaanza kujiambia yaani nikirudi kazini nitafanya kazi nirakuwa serious na kazi yangu...jipe kamwezi...unatamani tena kurudi likizo.
Mfano 4. Mwanamke anayetaka mwanaume mwenye pesa mpe mwaka tu......motivation factor yake kwa wanaume mwenye pesa itapotea...ataanza kutaka kitu kingine kwa yule yule mwanaume.
Maisha hayana maana.. furahia kwa ulichonacho huku ukiipambania furaha ya kweli.
Tehtehteh... niliposonlma hapo juu cashier nikakukumbuka.Essay nzuri ila PESA ndio PESA.
Halafu mie nimesoma comment yako tu hata sijui uzi unasema nini.Tehtehteh... niliposonlma hapo juu cashier nikakukumbuka.
OkNgoja kwanza nipate pesa halafu ndio nijue kama ni kila kitu ama laah.
Kwa sasa naweza sema ndio kila kitu maana nahangaika nawaza kuzipata.