Dada zangu mtuliege

Funzo la hadithi : Wanawake acheni umalaya
 
Eti ninunue gari kwa ajili ya mwanamke kisa uchi!,
uchi wenye kwenda service kila mwezi!-HAIWEZEKANI KUBABAKE
Mkuu mm hapa npo Nawaza hlo gari ni la udongo au Yale ya mabox, siamin km Dunia imefika hatua ya kunichekesha kias hiki...
 
Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kichwa chako kama kichwa cha chini ya miguu๐Ÿคฃ
 
Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!

Chai ina pilipili.
Kwani unao wangapi mama, mbona unanipandisha pressure.
 
Kichwa chako kama kichwa cha chini ya miguu๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Weeeh kumbe vichwa vipo vingi๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿคช
 
Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Wewe wapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Weeeh kumbe vichwa vipo vingi๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿคช
Vipo kadhaa, kua uyaone๐Ÿ˜‚
 
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Wewe hapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????

Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hahaha, inabidi nitume walau ya supu kesho uamkie restaurant. Nongwq zimezidi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hahaha, inabidi nitume walau ya supu kesho uamkie restaurant. Nongwq zimezidi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ewaaaah! Fanya hivyo basi babe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ