Dada zangu mnanikera sana

Dada zangu mnanikera sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,008
Reaction score
126,404
Unanielekeza mwenyewe nyumbani kwenu nikija kumbe hukai hapo.

  1. Nakutongoza taratibu katika daladala wewe kudadadeki zako unanijbu kwa sauti hadi abiria wanajua A to Z.
  2. Nikiwa nakukandamiza ( kukugegeda ) hutoi hata sauti za kimahaba na unabaki tu kunikodolea mimacho utadhani Pacquiao na Floyd Myweither wanalipokuwa wakikodoleana wakati wanapimana uzito.
  3. Kutuzoea ghafla wanaume katika madaladala au bajaji ili tuwatoleeni nauli.
Nimeanza na hizo ila na wewe mwanaume mwenzangu nakukaribisha nawe utoe dukuduku lako la nini kinakukera

  1. Unaonana na gentamycine barabarani halafu nakuomba namba mwenyewe nikikupigia unaniblokia.
Kwa hawa dada zetu.


Karibuni sana
 
Unamuomba namba vizuri tena kwa ustaarabu anakupa baadae ukimpigia simu hapokei au anaanza kukuuliza wewe nani kwani,ukijieleza anasema eti sikufahamu. Hilo la kwenye Gari ndio mchezo wao huo,yaani unaongea nae vizuri kwa sauti ya chini ambayo yeye anakusikia kabisa

badala yake yeye anakujibu kashfa tena kwa sauti ya juu kabisa. Kuna mshkaji mmoja alijibiwa ''Bwana wee usinisumbue huko''jamaa akajibu kwa sauti ya juu ''kama umejamba nisikwambie wee vipi'',demu alipata aibu mbaya ikabidi ashuke kituo kinachofuata.
 
Unamuomba namba vizuri tena kwa ustaarabu anakupa baadae ukimpigia simu hapokei au anaanza kukuuliza wewe nani kwani,ukijieleza anasema eti sikufahamu. Hilo la kwenye Gari ndio mchezo wao huo,yaani unaongea nae vizuri kwa sauti ya chini ambayo yeye anakusikia kabisa

badala yake yeye anakujibu kashfa tena kwa sauti ya juu kabisa. Kuna mshkaji mmoja alijibiwa ''Bwana wee usinisumbue huko''jamaa akajibu kwa sauti ya juu ''kama umejamba nisikwambie wee vipi'',demu alipata aibu mbaya ikabidi ashuke kituo kinachofuata.

Jamaa Alifanya UBUNIFU ULIOTUKUKA Na Nahisi Huyo Demu Alijiona Mdogo Kuliko Hata Kidonge Cha Piriton Na Iwe Fundisho Kwa Wengine.
 
We unamtongozaje mtu kwenye daladala? Kama umemkubali sana mtu. . . .
#1 . subiri ashuke alafu shuka nae hata kama bado hujafika na sh. 400 ya kupanda gari lingine huna. Uliza maswali ya kizushi au kama unajiamini sana go straight to the point.

#2 . Jidai sio mwenyeji sana umuulize direction za kwenda sehemu tofauti kabisa na mnapoelekea. Akikuelekeza vizuri mada hiyo hiyo anzishia story, mwisho omba namba utamtongoza baadae.

Sidhani kama kuna mtu anaweza akawa confortable kutongozwa ndani ya daladala. Kwanza unaanzia wapi?Hayo mengine muwe mnajiongeza. Mtu akikupa namba sio jua alikupa ili tu usiendelee kumsumbua na sio kwamba kavutiwa na swagga zako.
 
Aiseeeeee nakereka na hiii issue unamtongoza anakubalia sasa kimbembe sku ya mgegedo cm hapokei yan nakereka nataman nimuuwee kesho yako napokutana nae
 
Asee unakutana na mdada kwenye daladala humfahamu hakufahamu halafu unaanza kumtongoza huo ni ushamba mpaka unamwomba namba za cm?shame upon u,hii ni jinsi gani unavojionyesha mwili wako ni wa kumvulia kila msichana unaekutana nae popote pale siwapendi wanaume wa aina hiyo,mi naona wengi wavuta bangi wanafanya hivo coz huwa hawajielewi sasa sijui nawe ni mmoja wapo
 
ukiona hivo ujue domo zege.....ungekuwa na sweet words angepayuka?? jipangee
 
Au anakuambia yupo kwenye siku zake,

Mimi Huwa Nawaombaga Kuingiza Mkono Huko Kunako Nanihii Mbunye Zao Ili Nikague Kwani Ktk Viumbe Namba Moja Nisivyoviamini Duniani Ni Dada Zetu.
 
Back
Top Bottom