figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,636
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.

We ni wa ukwe-eeeusichanganye machangudoa na madada wa kweli
madada wa ukweli hata kucheza nae ufanye kazi
na wanakwenda club na usafiri wao,
wananunua wenyewe kinywaji chao na kadhalika
kwanza embu fikiria, eti anakufata huku anakata kiuno, unaona kabisa type hiyo humu JF? kweli kabisa? nafikiri umelalamikia mahala ambapo apahusikihii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.
Acha roho mbaya!
Kwani ukimnunulia beer moja/mbili wakati umesha-swagger naye kuna ubaya?
kwanza embu fikiria, eti anakufata huku anakata kiuno, unaona kabisa type hiyo humu JF? kweli kabisa? nafikiri umelalamikia mahala ambapo apahusiki
Umepotelea wapi?. miaHuyu naye mwanga.