Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 31, nimeoa na nina watoto wawili.
Kwetu tumezaliwa watoto saba, Mimi ni watatu kuzaliwa.
Dada Iko hivi, Kuna mdogo wetu wa kike kaolewa na jamaa tajiri sana, huyo mume wake ana magari makubwa haya ya mizigo, ana maduka ya vifaa vya magari, Yani Kwa kifupi huyo mume wake ni tajiri.
Ila Cha kusikitisha ni kwamba mdogo wetu ameshindwa kuiba hata Hela Kwa huyo mume wake Ili angalau atupatie mitaji ndugu zake, kipindi ana karibia kuolewa mama alimkarisha chini akamwambia anatakiwa afanye juu chini ahakikishe kabla ya chochote akisha ingia kwenye ndoa aanze kuiba kidogo kidogo Ili atukomboe ndugu zake, Lakini naona kasahau vyote alivyo ambiwa na mama pamoja na mamdogo.
Kuna siku nilikuwa Sina hata mia, nikampigia simu nikamueleza anitumie angalau hata elfu kumi tu Ili wanangu wasilale njaa, akaniambia sawa nakutumia, lakini huwezi amini hakunitumia na Kila nikimpigia simu akawa hapokei, nikijaribu Kwa namba nyingine anapokea na akisikia ni sauti yangu anakata simu, siku hiyo tulilala njaa, Inaniuma Sana.
Hivi dada yangu ndugu kama huyu anafaa kuendeleza naye undugu? Mtu yupo kwenye hela kiasi kile anashindwa kuiba Ili atupatie mitaji ndugu zake wakati anajua kabisa familia yetu sisi ni masikini.
Mdogo wetu ana tembelea haya magari sijui wanaita lenji rova, akija kijijini anaona sifa watu wanavyo mshangaa ila haoni aibu maisha magumu tunayo Pitia kaka zake.