Dada yangu ni Mama Yangu

Mkuu Compact umeandika Poa sana ni very touching story, Heshima kubwa elekeza kwa dada huyo mana ndio amekufanya unaonekana mtu miongoni mwa ulimwengu huu
 
Mkuu Compact umeandika Poa sana ni very touching story, Heshima kubwa elekeza kwa dada huyo mana ndio amekufanya unaonekana mtu miongoni mwa ulimwengu huu
Hakika Mkuu. Heshima yangu haipimiki.
 
Duuuh mkuu pole sana na pia hongera
Pole kwa kumpoteza mama na pia hongera kwa kuwa na dada aliyekupa mapenzi bora kama mama yako. Dunia hii tunapitia mengi sana na ni kweli katika mazingira na tamaduni tulizokulia ilikua ni jukumu na mapenzi ya dada au mama wadogo kulea watoto wanaopoteza wazazi labour. Mpe hongera sana Dada Mama yako na usiache kushukuru na kumuomba Mungu kwa ajili ya wengine kama wewe.

Sijui hata niseme nini. Umenitonesha kidonda. Nilipoteza mke na akaniachia watoto mapacha miaka 7 iliyopita. Najua hio hali ilivyo

Happy Mothers day Dada wa Compact
Happy Mothers day mama Brian&Briana. RIP mama yangu mkewangu
 
Daah!. Pole sana Mkuu, ni maumivu sana katika hali kama hii. Pole mno na walee kwa mapenzi zaidi Brian na Briana ili wasihisi kukosa chochote kwa kuondokewa na mama yao.

Happy Mama's Day.
 
Dada atakua alikubemeda maana umeshindwa hata kushorten your story
 
Daah!. Pole sana Mkuu, ni maumivu sana katika hali kama hii. Pole mno na walee kwa mapenzi zaidi Brian na Briana ili wasihisi kukosa chochote kwa kuondokewa na mama yao.

Happy Mama's Day.
Asante mkuu. Ni kipindi kigumu sana
Nilimpoteza Brian pia ndani ya wiki hiyo hiyo ila mrembo wangu Briana yuko darasa la kwanza sasa. Na ninajitahidi kumpa mapenzi yote kama vile tungekua familia iliyotimia. Kwa rehema za Mungu tunasonga mbele. Ila kumbukumbu ni kama jana tu vile

Mwacheni mama aitwe mama tu
 
Hongera kwa bahati ya kupata dada mama, Mungu aendelee kumbariki
 
Naona kitu pekee usichokizoea ni kuanza kumwita dada ilihali ulizoea mama,aisee pole sana mkuu,japo kila mtu ana mitihan yake lakin naona wakwako umenizi....
 
Dah pole na hongera. Story yako inahuuzunisha na inafurshisha
 
Pole sn mkuu kwa kumpoteza mama lakini hongera kwa Dada wa kweli ni waaina yake na mfano wa kuigwa hapa Duniani. Mungu ampe maisha marefu kwa kuvaa ipasavyo uhalisia wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…