Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,646
Kwani dada mwenyewe anasemaje?DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema, mwanaume yeyote anayekupenda kwa dhati na anayekuwazia mema hawezi kukushawishi akulale kinyume cha maumbile. Hayupo mwanaume sahihi/bora anayekupenda sana na anayeijua thamani yako akakushawishi au akaongea ujinga huu. Hapo HAMNAMO mwanaume jiongeze hiyo ni mbuzi
2. DADA ANGU mwema hakuna mwanaume anayekupenda sana akakuambia nizalie mtoto kwanza ndipo nikuoe basi ukifanya hivyoππΏπ’ jiandae kuwa single mother uliyepumbazika na penzi la majaribio yaaani wewe ni MGALATIA
3. DADA ANGU mwema usipunbazike na penzi la mume wa mtu kisa anakulipia kodi unapokaa Huku ukipambania eti aachane na mke wake akuoe wewe dada fumba macho tukuombee tu
4. DADA ANGU mwema, usiolewe na mtu kisa umezaa naye, amekusaidia, changamoto yako, upweke na usibaki kwenye mahusiano yale yaliyokufa kisa umezaa naye, dada angu, mtoto haleti upendo utabakuwa kama dada wa kazi tu
5. DADA ANGU mwema, usikubali kutumiwa kimapenzi na mwajiri wako (boss wako) ukajiona umeyawin maisha. Umeshapotea na utapoteza kujiamini na utakuwa adui wa wafanya kazi wenzako kwasababu utawaumiza
6. DADA ANGU mwema usiendelee kuzaa na mwanaume ambaye umeona kabisa haeleweki, anakwepa majukumu maana utakuwa na majukumu makubwa ya kulea pekee ako na ukiachika utapata shida kupata mwanaume atajayekuoa ukiwa na watoto wengi dada angu
Yawezekana umemuona haeleweki achana naye kama uko naye kwenye ndoa achana au punguza kuzaa linda thamani yako usije kujuta.
Bikira maria amaπππDada mwema ni bikra tu kama sio bikra huyo ni malaya lolote limkute
Kilanga, mi najuaga wewe upo zako kwenye nchi za watu huko, hu mwandiko wa Kibongo kabisa hu. JokeKwani dada mwenyewe anasemaje?
Kwanza kabisa usinipangie cha kuandika na jinsi ya kuandika.Kilanga, mi najuaga wewe upo zako kwenye nchi za watu huko, hu mwandiko wa Kibongo kabisa hu. Joke
Dada yangu mwema ....DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema, mwanaume yeyote anayekupenda kwa dhati na anayekuwazia mema hawezi kukushawishi akulale kinyume cha maumbile. Hayupo mwanaume sahihi/bora anayekupenda sana na anayeijua thamani yako akakushawishi au akaongea ujinga huu. Hapo HAMNAMO mwanaume jiongeze hiyo ni mbuzi
2. DADA ANGU mwema hakuna mwanaume anayekupenda sana akakuambia nizalie mtoto kwanza ndipo nikuoe basi ukifanya hivyoππΏπ’ jiandae kuwa single mother uliyepumbazika na penzi la majaribio yaaani wewe ni MGALATIA
3. DADA ANGU mwema usipunbazike na penzi la mume wa mtu kisa anakulipia kodi unapokaa Huku ukipambania eti aachane na mke wake akuoe wewe dada fumba macho tukuombee tu
4. DADA ANGU mwema, usiolewe na mtu kisa umezaa naye, amekusaidia, changamoto yako, upweke na usibaki kwenye mahusiano yale yaliyokufa kisa umezaa naye, dada angu, mtoto haleti upendo utabakuwa kama dada wa kazi tu
5. DADA ANGU mwema, usikubali kutumiwa kimapenzi na mwajiri wako (boss wako) ukajiona umeyawin maisha. Umeshapotea na utapoteza kujiamini na utakuwa adui wa wafanya kazi wenzako kwasababu utawaumiza
6. DADA ANGU mwema usiendelee kuzaa na mwanaume ambaye umeona kabisa haeleweki, anakwepa majukumu maana utakuwa na majukumu makubwa ya kulea pekee ako na ukiachika utapata shida kupata mwanaume atajayekuoa ukiwa na watoto wengi dada angu
Yawezekana umemuona haeleweki achana naye kama uko naye kwenye ndoa achana au punguza kuzaa linda thamani yako usije kujuta.
Ongezea mkuuDada yangu mwema ....
Mkuu, twaruhusiwa kuongezea??
Unatwanga maji kwenye kinu.DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU

Mbona kama umepaniki bro? Hakuna nilipo kupangia wala kukushauri, nimekutania tu kidogo kupitisha masaa, nimeona kama huo mwandiko ni wetu sisi wa huku kwa Aziz Ali. Hamna ushauri wala mipango hapo. Don't take so serious bro, utani wa hapa na pale tuKwanza kabisa usinipangie cha kuandika na jinsi ya kuandika.
Watanzania wengi ni watu wanaopenda kushauri mambo wasiyoyajua, kwa watu wasiowafahamu, bila ya kuombwa huo ushauri.
Ndiyo maana nikasema kwani dada mwenyewe anasemaje?
Watanzania wengi ukiwaambia ukwwli wanajibaraguza kwa kusema "hapo nilikuwa natania tu".Mbona kama umepaniki bro? Hakuna nilipo kupangia wala kukushauri, nimekutania tu kidogo kupitisha masaa, nimeona kama huo mwandiko ni wetu sisi wa huku kwa Aziz Ali. Hamna ushauri wala mipango hapo. Don't take so serious bro, utani wa hapa na pale tu
π π π π€£π€£ and that's what I meant bro kwamba hu mwandiko ni wa huku kwetu Uswahili.Watanzania wengi ukiwaambia ukwwli wanajibaraguza kwa kusema "hapo nilikuwa natania tu".
Kwa Aziz Ali hata mimi kwetu pia.
Kote huko kwa Aziz Ali, Mbwamaji, Tuangoma, Kisarawe, Kinyasini,Kinyerezi, kote nina viunga huko.
Usinipunje kwetu.
Unawabagaza sana Waswahili.π π π π€£π€£ and that's what I meant bro kwamba hu mwandiko ni wa huku kwetu Uswahili.