Dada yangu kama hutaki bora usimpe kuliko kunyanyasia tamu mtoto wa mama mkwe

Abby Uladu

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
2,031
4,236
Kuna tabia za wanawake wanatoa wanawapa wanaume zao kwa masharti kama vile wanawatoa msaada au wao hawahitaji sana hili tendo.

1. Mwanamke anadiliki kusema, naomba ukojoe mimi nilale yaani mwanaume hata dakika tano hazijaisha anaambiwa kojoa nilale, anafanya huku akiambiwa naomba ukojoe mpaka amani ya kuendelea mwanaume inakata.

2. Mwanamke anamapanua miguu wala haoneshi ushirikiano, yaani mwanaume anajifurahisha mwenyewe yaani hakuna ushirika wa kwikwi au papaso toka kwa mwanamke.

3. Mwanamke hataki kuelekezwa style yoyote yeye anakujibu kama hutaki hii ya chali tulale Mimi siwezi yaani kwa jicho kavu kabisa. Yeye anavyotaka ndivyo iwe.

Mwanamke ambaye kutoa mpaka aamue yeye huku akiwa ni mke kabisa. Yaani mwanaume unalala nayo ila anaiona tu ipo kwenye nguo au imebanwa na mapaja.

Poleni kaka zangu mnaoipata kwa mateso hata mkiipata mnasimangwa mwanzo mwisho ukikuambia ukojoe alale amachoka au hajisikii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom