Anakutaka huyo hana lolote
Anakuta huyo hana lolote
I can understand her....ana maana yake we muache....

Kabisa, najua hata mimi ile style yako ya Philips mche na nywele twende kilioni na tule tubajaji tweusi twa buku jero, tulinifanya nijione tupo levo on dei wani, ndo maana leo tunapo pamoja!! Mengi mazuri nimeyapata tukiwa pamoja!!! Ungekuja na gold mushingo, iPad au kavitz ningehic ni gold digger, ningejua tu sasa jukumu la mafuta kwa hako kavitz na vocha kwa iPad ni kwangu. Nakupenda wangu, ulikuwa simpo na bado upo simpo!!
yuko sawa coz anataka date wake amaccept yeye kama yake and nt kwa alivyonavyo
kaka upo?leo kuna mtu alitaka kuleta fikwa we sijui ulikuwa wapi!na mi ngoja siku nikiwa na kieti nae namwendea na rubega kabisa ili asinialike tena!aahhahhahhahahahha
NI Boflo kaka!kanikalia kooni ile mbaya!Hahahahahha! Rubega tena, dada utaua bendi!Hizo fwika mletaji mwenyewe ni nani? TNMO au Erick, au Arushaone? TANMO anaonekana kama Maryoo, angalia avatar yake!! Erickb52 sharobaro na huyo Arushaone sijui msukuleee, angalia avatar yake!!! Kama hao ndo waleta Fwika, mtafute mjomba Dark city labda hawajui!!