Dada yangu ndoa yake ina mgogoro 4 2months, wana 12yrs, ndoa yakikristo, 3kids ke 10yrs, me 8yrs, me 4yrs. chanzo ni uzinzi wamume uliokithiri, anazini na wanafunzi, wanawake wamtandaoni, karibu kila kona anahawara, mara yamwisho dada alifuma sms kwenye simu ya shem, inasema,
''mke wangu nakumiss sana napanga nije tena Arusha tumtafutie Bryan mdogo wake amekua sana, mke huyo akamjibu we mi naogopa usije ukanitelekeza tena.''
Dada akamuuliza kumbe una hawara hadi umezaa nae? Mume kawa mkali anadai dada hana adabu kwanini apekuepekue simu yamumewe? Mke akalia sana mume hajali, sasa hawasemeshani kilammoja anafanya lake, mke anajiendeleza chuo, hutoka asubuhi anarudi jioni kimya, jana kaja kwangu tumeshinda kanisani maombi, kufika kwake ugomvi ukatibuka mume anadai J4 ataenda kumpa talaka mahakamani sababu anakiburi eti watu huishi nawanaume malaya nakuwaheshimu, kwanini ye hamheshimu kaambiwa awaache watoto kwamume, namali zote haziache nizawatoto, mume ataziangalia, dada anataka wanae na mali.
Je, atapewa wanae namali kweli?
Nyie familia mtulizeni dada yenu;
talaka siyo nzuri, ataishia kuolewa na kuachika tena mwisho ataonekana mhuni.
Hata kama atapewa mali .............?
Kulea watoto pekee yako siyo lelemama, mwisho hata ndugu wanakuacha.
............... by the way mpe pole.
Naona unaanza kulilia na kupigania kabisa mali za shemeji teh teh teh
Usijali mtapata japo kwa kuchelewa
watu ndiyo wanatasha hasa ambao hawajaingia katika ndoa! Huu ni unyanyapaa wa ndoa. Achana nao ndoa ni luluduh ndoa zinatisha jamani