Dada yangu anataka nimpe mambo..

Status
Not open for further replies.
Aziniye na mwanamke hana akili afanya jambo litakalomwangamiza.,pia rejea kisa cha yusuf ktk mwanzo 39 mke wa mfalme alipomtaka alale naye alikataa then yule mwanamke akageuka kuwa yusuf alitaka kumbaka,kijana alifungwa ila baada ya mfalme kugundua kuwa alionewa alipandishwa cheo akawa waziri.,vipi leo mke wa boss wako akikuhitaji si itakuwa sherehe kwako!.tumwogope mungu
 
movie inaitwa I spit opn your Grave. pia hiyo movie haina malovee kama vile wewe unavyosema ila kuna kama scenes mbili hivi za mwanamke anabakwa!
sasa kama huyo binamu yako anataka kubakwa fine ila wala usiisingizie movie.
kama haupendi mduu sasa huku umekuja kuomba ruhusa ya wanajamii au? maana hadi hapo tayari maamuzi unayo kabisa sasa I wonder what else do you want us to do.
The cards are on your laps either you take them or leave them ila always kaa ukijua ya kwamba mke wa mtu ni sumu.
 

biblia imesema, yeyote alalaye na ndugu yake, AMELAANIWA!!

sasa kijana kuwa macho!! chunga nyeti zako!!

hivi hujaona wananume wenzio wakiwa wamekatwa ----- zao

sababu ya vitu kama hivi?

mwambie ukweli kuwa hutaki hio kitu !!
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa ,afanya jambo litakalomwangamiza.,pia rejea kisa cha yusuf ktk mwanzo 39 mke wa mfalme alipomtaka alale naye alikataa then yule mwanamke akageuka kuwa yusuf alitaka kumbaka,kijana alifungwa ila baada ya mfalme kugundua kuwa alionewa alipandishwa cheo akawa waziri.,vipi leo mke wa boss wako akikuhitaji si itakuwa sherehe kwako!.tumwogope mungu
 

nilitaka niseme kuhusu hii movie, USHAMALIZA!!

nimeatafuta sana hio scene ya malovee sijaiona!!

kijana yuko mjini lakini hajielewi!
 
Kwi kwi kwi kwi....wadau nao wangependa kukusoma unaegemea kipande ipi katika hili.

Threads kama hizi huwa napenda tu kusoma comments za wadau....teh teh teh!
 
Haya..mawazo ndo hayo umeyasikia yote ni hayohayo na kwakuwa unathamini sana ushauri wa great thinkers katika kuitafuta laana akili kumkichwa
 
Dada kaolewa! 'anataka kuolewa na anamegwa kama kawa' mwanafa! #team bado nipo nipo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…