Dada wa saloon anatafuta kazi

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Kama unahitaji dada wa saloon mwenye ujuzi na uzoefu wa zaidi ya miaka 6 kwenye mambo ya saloon na msusi hodari wa mitindo yote ya nywele,
wasiliana nami kwa:0655185973 au nipm.
NB:kituo cha kazi kiwe Dar.
Mshahara si chini ya 3L.
KARIBUNI.
 
Kuna salon moja ipo kariakoo ghorofa ya 7 inayonyoa nywele za juu na chini walikuwa wanatafuta mtu. Sijui kama wameshapata !!
 
Kama mtu akitaka muingie mkataba wa kufungua saloon then akupangie kiwango uko tayari kulipa kiasi gani kwa siku.

NB: eneo linatafutwa kule unapopaamini na ulipozoeleka
 
Kama mtu akitaka muingie mkataba wa kufungua saloon then akupangie kiwango uko tayari kulipa kiasi gani kwa siku.

NB: eneo linatafutwa kule unapopaamini na ulipozoeleka
Si chini ya 50,000/ per day baada ya saloon kuzoeleka(almost ndani ya mwezi) lakini kiwango kinaeza panda kulingana na ongezeko la wateja baada ya hapo.
Kwa saloon iliyokamilika haswa si chini ya 100,000/=
 
MHHHHHHHH 50000!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom