Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,940
- 23,215
Sikia, uwezekano wa kuinusuru hiyo ndoa ya mshikaji wako ni kubwa.Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu
Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
Kwani hawaliwi mkuu!??
Hapo kwenye kumla kwenye Kitanda anacholala na mkewe ndipo amekosea zaidi
Anaoshwa tu hata akiomba msamaha kwa mwenzake?Thanx mpenzi ila huyu anafanya mambo ya ajabu hajui kua muosha huoshwa
Na ndicho nachoona hata mimi.Kwani hawaliwi mkuu!??
Hapo kwenye kumla kwenye Kitanda anacholala na mkewe ndipo amekosea zaidi
Mh! Kuna watu wakali wana visirani visivyoshuka!Msamaha unafaida gani mtu akishatenda katenda hata ukisamehe hausahau ss si bora asiombe msamaha tu
Hivi hili la kitanda huwaga ni msamiati au kitanda hikihiki (an item)?Na ndicho nachoona hata mimi.
Kumla huyo mdada kwenye kitanda anacholala na mkewe hadi kufumaniwa ndio kalikoroga zaidi.
Hayo mengine yaliosalia ni porojo za utakatifu wa bandia!.
Kweli Kabisa kakaNa ndicho nachoona hata mimi.
Kumla huyo mdada kwenye kitanda anacholala na mkewe hadi kufumaniwa ndio kalikoroga zaidi.
Hayo mengine yaliosalia ni porojo za utakatifu wa bandia!.
Kusamehe sio shida, shida ni kutosahau ukikumbuka unageuka mbogo tenaMh! Kuna watu wakali wana visirani visivyoshuka!
Mungu mwenyewe anatuhimiza tusameheane jamani.
Mkuu me na ww tunaheshimiana sana, embu futa hii reply yako[emoji3]
Mtu anajifirisi anakulipa kama kweli anakupenda na maisha yanasonga.Kusamehe sio shida, shida ni kutosahau ukikumbuka unageuka mbogo tena
Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu
Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
Ukweli nikwamba huyu anabahati mbaya ya kafumaniwa ila wanaumme 50% wenye ndoa zao wanapata loose cheap sex kwa watumishi wao wandani ndgu wa mke na majilani, hususani wake zao wakiwa wajawazito au wakiwa wamejifungua.........na hili kwa mwana mke wa Kiafrica sio shida ya kuvunja ndoa akiwa anaipenda, sema tu jf kila mtu ni Nabii Mtakatifu Msomi Tajiri nk hupati maisha halisi ya watu. Hapa kwetu jilani limetokea wiki hi tena kibaya zaidi mama mwenye nyumba alivo wafumania beki Tatu kaanza kugombana na huyu mama mwenye nyumba kampa majiraha kwelikweli, Baba mwenye nyumba kakimbia centre kawaacha wenyewe tu ucku ulivo Ingia Baba hajarudi mama katuma mtoto kumuangalia Baba mwenye nyumba akarudi, wakanena na mkewe kidogo, beki tatu kapewa nauli kesho yake kaondoka, maisha yao yakaendelea vizri tu, tena kibaya zaidi hi ni familia ya ya wasomi mama ni Graduate na Baba ni Graduate wamekaa zaidi ya miaka 7.pamoja......kwahilo kuridhisha mwanaumme sio kitu rahisi hususani mwenye uwezo
picha ya beki tatu pleaseJana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu
Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
Viwango vya nini, papuchi ni papuchi tu hayo mengine NI mbwembwe tu, Yoyote inapokeaWanaliwa mkuu, ila mimi siwezi kumla beki 3, kwanza hawana viwango
Kuna beki tatu nilikuwa namlia timing hapa, daa ibilisi huyu Bora na mimi niahirishe tuUmenena vyema mkuu