millcent5 Member Joined Dec 8, 2013 Posts 62 Reaction score 25 Sep 9, 2022 #1 Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa.. Salon iko Tabata mwananchi Vigezo÷ Awe na umri kuanzia 18 Awe ameshafanya kazi za salon karibuni Awe karibu na maeneo na tabata Mawasiliano. 0719 346497
Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa.. Salon iko Tabata mwananchi Vigezo÷ Awe na umri kuanzia 18 Awe ameshafanya kazi za salon karibuni Awe karibu na maeneo na tabata Mawasiliano. 0719 346497
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,433 Reaction score 21,446 Sep 9, 2022 #2 millcent5 said: Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa.. Salon iko tabata mwananchi Vigezo÷ Awe na umri kuanzia 18 Awe ameshafanya kazi za salon karibuni Awe karibu na maeneo na tabata Mawasiliano. 0719 346497 Click to expand... Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye
millcent5 said: Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa.. Salon iko tabata mwananchi Vigezo÷ Awe na umri kuanzia 18 Awe ameshafanya kazi za salon karibuni Awe karibu na maeneo na tabata Mawasiliano. 0719 346497 Click to expand... Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye
Faru12 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 391 Reaction score 235 Oct 7, 2022 #3 Kama hujapata ni PM, nikuunganishe na mtu.
millcent5 Member Joined Dec 8, 2013 Posts 62 Reaction score 25 Mar 17, 2023 Thread starter #4 Marco Polo said: Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye Click to expand... Dau litatokana na yeye utendaji kazi wake, kazi za salon tunalipa kutokana na utendaji kazi wa mtu, kwahiyo atafanya kazi kwa miezi 2 kwa uangalizi, ndipo atapata mkataba wa miezi 6 baada ya hapo tunaendelea.
Marco Polo said: Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye Click to expand... Dau litatokana na yeye utendaji kazi wake, kazi za salon tunalipa kutokana na utendaji kazi wa mtu, kwahiyo atafanya kazi kwa miezi 2 kwa uangalizi, ndipo atapata mkataba wa miezi 6 baada ya hapo tunaendelea.