Wameshanitenda sana wadada ndio maana naweka wazi sifa ninazo zitaka😀😀 Ila ni vigezo vya kawaida sana Honey FaithAiseee mbona vigezo vingi sana ndugu yangu.
Ni kweli BarbraWadada wa Kazi ni pasua kichwa yaan usisahau kumuombea tu maana
Mimi walinisumbua sana hawa wadada wa kazi, wa kwanza nilimtoa iringa, ikifika usiku wa saa sita anapiga yowe, eti bibi yakeWameshanitenda sana wadada ndio maana naweka wazi sifa ninazo zitaka😀😀 Ila ni vigezo vya kawaida sana Honey Faith
hahahahah imebidi nicheke (bold) pole sana ndugu yangu Siasa Basi!Mimi walinisumbua sana hawa wadada wa kazi, wa kwanza nilimtoa iringa, ikifika usiku wa saa sita anapiga yowe, eti bibi yake
😀😀😀😀Mimi walinisumbua sana hawa wadada wa kazi, wa kwanza nilimtoa iringa, ikifika usiku wa saa sita anapiga yowe, eti bibi yake
hahahaah yaani hata mie nimecheka sana, hapo anapoamka usiku...😀😀😀😀
Mawasiliano: 0629 533 764
haahahahahh Good morning AsprinMacho yangu yanaona rangi nyekundu tu baasi.
Ngoja nisome kwa makini
Huyu yalekea anamtafutia kaka yake mchumba kijanjajanja...Aiseee mbona vigezo vingi sana ndugu yangu.
Goodmorning sweetheart...haahahahahh Good morning Asprin
Hapana ni kweli nina shida ya msaidizi wa ndaniHuyu yalekea anamtafutia kaka yake mchumba kijanjajanja...
Nina shida ya dada wa kazi, mbona vigezo ni vya kawaida sana Asprin, hebu visome tena naamini hata wewe unataka upate msaidizi mwenye sifa hizo. Wasumbufu sana, ukimbeba habebekiGoodmorning sweetheart...
hebu nambie hapa unatafuta dada wa kazi au unamtafutia kaka yako mchumba kijanjajanja??
tehe tehe tehe tehe tehe niliwai kupata mmoja, usiku wa manane nikasikia mayowe kutoka chumbani eti kuna mtu anautoa moyo wakeMimi walinisumbua sana hawa wadada wa kazi, wa kwanza nilimtoa iringa, ikifika usiku wa saa sita anapiga yowe, eti bibi yake
Bazaz utawajua tuMacho yangu yanaona rangi nyekundu tu baasi.
Ngoja nisome kwa makini
hahaahahahahahahh kwikwi kwikwi jamani acha tucheke kama mazuri vileeetehe tehe tehe tehe tehe niliwai kupata mmoja, usiku wa manane nikasikia mayowe kutoka chumbani eti kuna mtu anautoa moyo wake
All the best mpendwa wanguWameshanitenda sana wadada ndio maana naweka wazi sifa ninazo zitaka😀😀 Ila ni vigezo vya kawaida sana Honey Faith