Nikolaevich
Member
- Oct 5, 2013
- 37
- 9
Ninahitaji daa wa kazi dar naishi mbezi, mshahara ni maelewano .but sio chini ya 50000. Kwa yeyote anaefahamu anilengeshe please, contact 0713586753
Elfu 50? Au nimeona vibaya figures!Ninahitaji daa wa kazi dar naishi mbezi, mshahara ni maelewano .but sio chini ya 50000. Kwa yeyote anaefahamu anilengeshe please, contact 0713586753
Umri huo ni mdogo sana ingekuwa vema nikapata mkubwa kuanzia 20 hivi mkuuMimi ninaye wa miaka 14
Mkuu hawa dada wa kazi wengi, hawajaanza kujitegemea, sio mbbaya kulipwa hivyo. Anajifunza maisha kuanzi matumizi mazuri ya pesa ndani, jinsi ya kuishi kama familia, jinsi ya kuwatunza watoto, pia kumbuka atakula pale atalala pale, atafua pale. Na wakati wote dhamana ya maisha yake yapo kwako, tatizo lolote litakalo mpata liko juu yako akiumwa juu yako na wala, hutakiwi kukata hata sent moja kufidia gharama za matibu yake. Yote yote kwa mtu anaejielewa hawa wadada wa kazi ni sehemu ya familia, wengine huoleewa mikononi mwetu, ila ukiishi nao vizuri na upate Dada mzuri mwenye tabia njema.Elfu 50? Au nimeona vibaya figures!
Word brotherMkuu hawa dada wa kazi wengi, hawajaanza kujitegemea, sio mbbaya kulipwa hivyo. Anajifunza maisha kuanzi matumizi mazuri ya pesa ndani, jinsi ya kuishi kama familia, jinsi ya kuwatunza watoto, pia kumbuka atakula pale atalala pale, atafua pale. Na wakati wote dhamana ya maisha yake yapo kwako, tatizo lolote litakalo mpata liko juu yako akiumwa juu yako na wala, hutakiwi kukata hata sent moja kufidia gharama za matibu yake. Yote yote kwa mtu anaejielewa hawa wadada wa kazi ni sehemu ya familia, wengine huoleewa mikononi mwetu, ila ukiishi nao vizuri na upate Dada mzuri mwenye tabia njema.
Mkuu anaweza kuja arusha?Yaa usemayo ni kweli tupu,,mimi ninae kutoka songea anaumri wa miaka 18,,kama unaweza nirudishia nauli niliotumia kumleta ok,,namtoa sbb ya financial prbm,,kwa sasa sina kazi,,yuko ok sana,,,,
I do pay the same...Mkuu hawa dada wa kazi wengi, hawajaanza kujitegemea, sio mbbaya kulipwa hivyo. Anajifunza maisha kuanzi matumizi mazuri ya pesa ndani, jinsi ya kuishi kama familia, jinsi ya kuwatunza watoto, pia kumbuka atakula pale atalala pale, atafua pale. Na wakati wote dhamana ya maisha yake yapo kwako, tatizo lolote litakalo mpata liko juu yako akiumwa juu yako na wala, hutakiwi kukata hata sent moja kufidia gharama za matibu yake. Yote yote kwa mtu anaejielewa hawa wadada wa kazi ni sehemu ya familia, wengine huoleewa mikononi mwetu, ila ukiishi nao vizuri na upate Dada mzuri mwenye tabia njema.
Chukulia kuwa gharama zake nyingine kwa mwezi... Chumba chenye umeme, chakula, matumizi ya maji na umeme nk, ni kama 150'000/= Kwa hiyo huyo kwa mwezi ni kama analipwa 200'000/=Elfu 50? Au nimeona vibaya figures!
Wewe ulitaka alipweje, nenda kwenye baar, utaona hawali pale, hawafui na wakilala wanatandika chini, wanalipwa Tsh. 80 tu.I do pay the same...
Mkuu kwani wewe upo wapi?hapa dar? Au mkoani? kama yuko ok na hana probl basi nitext then ntakucal tuongee.Yaa usemayo ni kweli tupu,,mimi ninae kutoka songea anaumri wa miaka 18,,kama unaweza nirudishia nauli niliotumia kumleta ok,,namtoa sbb ya financial prbm,,kwa sasa sina kazi,,yuko ok sana,,,,
Hukunielewa ndugu, nimesema na mie nawalipa hiyo 50'000=huduma zote juu yangu, nilikuwa naunga mkono mchanganuo ulioutoa post no #06Wewe ulitaka alipweje, nenda kwenye baar, utaona hawali pale, hawafui na wakilala wanatandika chini, wanalipwa Tsh. 80 tu.
Tupo pamoja mkuu.Hukunielewa ndugu, nimesema na mie nawalipa hiyo 50'000=huduma zote juu yangu, nilikuwa naunga mkono mchanganuo ulioutoa post no #06