Dada wa kazi anahitajika

Nikolaevich

Member
Oct 5, 2013
37
9
Ninahitaji daa wa kazi dar naishi mbezi, mshahara ni maelewano .but sio chini ya 50000. Kwa yeyote anaefahamu anilengeshe please, contact 0713586753
 
Elfu 50? Au nimeona vibaya figures!
Mkuu hawa dada wa kazi wengi, hawajaanza kujitegemea, sio mbbaya kulipwa hivyo. Anajifunza maisha kuanzi matumizi mazuri ya pesa ndani, jinsi ya kuishi kama familia, jinsi ya kuwatunza watoto, pia kumbuka atakula pale atalala pale, atafua pale. Na wakati wote dhamana ya maisha yake yapo kwako, tatizo lolote litakalo mpata liko juu yako akiumwa juu yako na wala, hutakiwi kukata hata sent moja kufidia gharama za matibu yake. Yote yote kwa mtu anaejielewa hawa wadada wa kazi ni sehemu ya familia, wengine huoleewa mikononi mwetu, ila ukiishi nao vizuri na upate Dada mzuri mwenye tabia njema.
 
Word brother
 
Yaa usemayo ni kweli tupu,,mimi ninae kutoka songea anaumri wa miaka 18,,kama unaweza nirudishia nauli niliotumia kumleta ok,,namtoa sbb ya financial prbm,,kwa sasa sina kazi,,yuko ok sana,,,,
 
Mkuu anaweza kuja arusha?
 
Huyu kaishia form three yupo mbeya utume nauli 0757500796
 
Mi silipi chini ya 50 000.
Kazi za kawaida. Ila maombi ni muhimu kuhakikisha hajaja na vitu vya bibi.
 
Mkuu hawa dada wa kazi wengi, hawajaanza kujitegemea, sio mbbaya kulipwa hivyo. Anajifunza maisha kuanzi matumizi mazuri ya pesa ndani, jinsi ya kuishi kama familia, jinsi ya kuwatunza watoto, pia kumbuka atakula pale atalala pale, atafua pale. Na wakati wote dhamana ya maisha yake yapo kwako, tatizo lolote litakalo mpata liko juu yako akiumwa juu yako na wala, hutakiwi kukata hata sent moja kufidia gharama za matibu yake. Yote yote kwa mtu anaejielewa hawa wadada wa kazi ni sehemu ya familia, wengine huoleewa mikononi mwetu, ila ukiishi nao vizuri na upate Dada mzuri mwenye tabia njema.
I do pay the same...
 
Elfu 50? Au nimeona vibaya figures!
Chukulia kuwa gharama zake nyingine kwa mwezi... Chumba chenye umeme, chakula, matumizi ya maji na umeme nk, ni kama 150'000/= Kwa hiyo huyo kwa mwezi ni kama analipwa 200'000/=
 
Yaa usemayo ni kweli tupu,,mimi ninae kutoka songea anaumri wa miaka 18,,kama unaweza nirudishia nauli niliotumia kumleta ok,,namtoa sbb ya financial prbm,,kwa sasa sina kazi,,yuko ok sana,,,,
Mkuu kwani wewe upo wapi?hapa dar? Au mkoani? kama yuko ok na hana probl basi nitext then ntakucal tuongee.
 
Wewe ulitaka alipweje, nenda kwenye baar, utaona hawali pale, hawafui na wakilala wanatandika chini, wanalipwa Tsh. 80 tu.
Hukunielewa ndugu, nimesema na mie nawalipa hiyo 50'000=huduma zote juu yangu, nilikuwa naunga mkono mchanganuo ulioutoa post no #06
 
naona hii kitu ina soko kumbe, hvi nikiwa wakala wa hawa wadada wa kazi nitapata wateja

kuwaweka kwenye category ni muhimu according to muhitaji
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom