Dada una sura nzurii.....

kwahiyo?!

sijaelewa bado unajaribu kusema nini!

labda marafiki ulionao wana wivu ila wa kwangu tunaambiana makavu live! hongera!

ila SA kuna Lesbians wengi pia!
 
wadada vibonge wa hivi.. huwa hamchelewi kufika mlima kilimanjaro...
 
Tatizo lako limekuwa kubwa saiv kias umeshindwa kumuuliza aliyekuona unakuja kuuliza apa ambao hata hawakufaham..

Rudi ukamuulize aliyekuambia iyo mitaa..hapaitwi GAUTREN NI GAUTRAIN..Empty set!
hahahaha aisee....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…