Dada ukimpenda mwanaume, Unafanyaje akutongoze?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,558
Reaction score
27,530






Hongereni kwa wiki mpya na poleni kwa msiba wa Gardner, mtu wa watu hajitangazi ila watu ndio wanamtangaza uzuri wake, Mchaga wa watu kaacha mtoto na mke, na mtalaka wake Lady Jay Dee.

Ulimwengu umekuwa kama kijiji, sasa, je iwapo mwanamke atakuwa amemwomba Mungu ampe mpenzi, na akapata amani ya kuwa na kijana fulani hapo kazini kwake, au mtaani au wamekutana tu pahala na wanakutana kila jumapili ila hawajawahi kuongea na kijana hata akiongea anapiga story za Mange na Simba Fc, sasa dada wa watu afanyeje ili kuwezesha kutongozwa? Kumbuka dada ana mwili kama mwanaume tu -libido ipo juu sana na anakula vizuri!
​
 
Nenda pale sugar ray utatongozwa live bila chenga tena tuitwaaa majina mazur beby,mchumba,my wangu,handsome boy,tajir ni full mitomgozo
Hapa tunazungumzia kutongozwa kuelekea ndoa siyo zinaa na uuzaji wa miili.
 
Huyo mdada we mwambie tu ajichanganye
 

Attachments

  • Screenshot_20240419_152252_WhatsAppBusiness.jpg
    74.2 KB · Views: 7
Hapa tunazungumzia kutongozwa kuelekea ndoa siyo zinaa na uuzaji wa miili.
Kwani bikira ipo? Kama haipo hawezi kukwepa mchakato wa kuliwa kwanza bila garantii ya ndoa. Baada ya kuliwa kwa muda fulani kama mtu akinogewa na pia kama ana sifa ya kuwa mke ndipo sasa hatua ya pili ya ndoa itafuata. Asilazimishe kwa kuweka masharti wakati hana dhamana kuu ( bikira). Mwanaume anayejitambua hawezi akaoa bila kula kwanza ili asije baadae akawa anaambiwa hamtoshelezi .
 
Wapo walio olewa na bikra wakawa mafisi kuliko fisi wa Sumbawanga.
Wapo walio olewa embe lishaonjwa na ndoa zina jubilee ya miaka 50.
In Short bikra labda uende uchaggani.

cc binti kiziwi Binti Magufuli
 
Reactions: 511

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…