functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 794
Acha ujinga wewe! Huyo ndiyo mwanamke sasa wa ndoto zako. Oa mara moja ili muishi maisha yenu bora kabisa.Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala nae usiku mzima kwa sh elfu 10000 tu. na kwakuwa nilikuwa nimelewa sana sikukumbuka hata kutumia kinga. cha ajabu asubuhi hataki niondoke anadai hajawahi kukutana na mwanaume anaejua mapenz kama mimi. kwahiyo anataka nimuoe kiukwel amenipenda sana maana ananipigia simu kila mara anasema nisipomuoa atajiua so wadau nipo njia panda nimkubalie au nikatae. naombeni ushauri wana jamii wenzangu:
Ana matukio mengi kumbeUlishamalizana na dada wakazi aliyekuwa ana kublackmail.
Anyway mahusiano ni maelewano kati ya watu wawili kama umemulewa lianzisheni kigetogeto tu.
#MaendeleoHayanaChama
Acha upumbavu.Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala nae usiku mzima kwa sh elfu 10000 tu. na kwakuwa nilikuwa nimelewa sana sikukumbuka hata kutumia kinga. cha ajabu asubuhi hataki niondoke anadai hajawahi kukutana na mwanaume anaejua mapenz kama mimi. kwahiyo anataka nimuoe kiukwel amenipenda sana maana ananipigia simu kila mara anasema nisipomuoa atajiua so wadau nipo njia panda nimkubalie au nikatae. naombeni ushauri wana jamii wenzangu: