Dada poa ana bastola......!!??

With all things considered kwanini asiwe na bastola ?
  • Moja kwanini watu wanapata bastola ?
  • Mbili kipato chake kwani hawezi kumiliki ?
  • Tatu hatari katika kazi zake, kwanini asimiliki ?
Hata kama ni uongo na hawana huenda ni bora wakawa nazo ili kuweza kujilinda kutokana na kukutana na watu tofauti na wengine wasio na staha... i.e. Hata kama sio bastola angalau pepper spray
 
U
Uliopoa villa park bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…