Dada poa ana bastola......!!??

Mcheza Viduku

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
1,150
Reaction score
2,921
Nyiee......tusichoshane kwa salamu bana kwanza huwa haisaidii kitu.

Ninakuandikia huu mkasa wa kweli kabisa ulionikuta mimi mwenyewe.

Mwaka wa kwanza tu tangu yule mwamba kutoka Chato amechukua kampuni kuiongoza, siku ile nilikuwa Mwanza kwenye Club moja iliyowika sana kutokana na huduma zao bora kuanzia chakula safi vinywaji, club ya kisasa ya muziki wa vijana na eneo kubwa lenye nafasi kwa ajili ya muziki wa dansi (live band).

Usiku ule wa jumamosi nilikuwa pale nimeshapiga vyombo vyangu fresh kabisa vimekolea kwenye standard (mimi ni mpenzi na shabiki wa muziki wa dansi), mida ya saa 8 usiku wakati bendi inapiga nyimbo za mwisho mwisho ili kumaliza ratiba yao ya siku hiyo mimi tayari nilikuwa nishapata mwenza wa usiku ule.

Hakuwa binti kiviiiiiile na nitakuwa muongo nikisema alikuwa mshangazi, yani alikuwa kati kwa kati lakini alikuwa mzuri aliyepenya na kuingia kwenye vigezo vyangu moja kwa moja.

Nilikuwa nimechukua room kwenye Hotel moja iliyotazama uwanja wa furahisha, vuuuuup hadi room ndio picha likaanzia huko.

Ile nimetoka maliwatoni kuoga nikakuta mwanamke anahangaika kuficha kitu flani, sikuwa na wasiwasi wa kuibiwa kwa sababu fedha zangu na vitu vinginevyo nilikuwa nimevikabidhi kwa uongozi wa hotel.

Nilisimama namtizama tu bila kusema neno, nae alipoina hali ile akashindwa kuendelea kuficha alichokuwa anakificha akakitoa hadharani, ilikuwa ni BASTOLA!

Akailaza kitandani akabaki kanitizama jinsi nilivyochanganyikiwa, huku nikiwa sijui niseme nini wala nimuulize nini.

"Utakuwa salama endapo utachagua kunyamaza" akaniambia kwa sauti ya upole tu huku macho yake yakiwa hayana hisia yoyote.

Nikatikisa kichwa kukubali bila kufumbua mdomo.

Akainuka akaenda bafuni kuoga huku ile manati ya mzungu kaiacha palepale kitandani, nadhani alijua jinsi nilivyoogopa kwa hiyo hakuwa na wasiwasi kuwa naweza kumfanyia hujuma yoyote.

Alipotoka kuoga nilikuwa nimeshapitisha uamuzi kuwa nimpe tulichokubaliana kisha nimuache tu aende, maana kilichoniijia akilini ni kwamba yule alikuwa jambazi, na vipi ingetokea bahati mbaya maaskari wakapata taarifa za uwepo wake pale wakanikuta nae.

Kama alilijua hilo akafikia kuzima taa akanivuta kitandani huku akisimama vyema kwenye nafasi yake ya uanamke, akaniandaa vizuri sana ikiwemo pia kuirudisha akili yangu eneo la tukio hatimae nikawa sawa tukashuka dimbani.

Alikuwa na upwiru wa kutosha na pia alikuwa fundi sana wa mishenyentano, piga gemu sawasawa kama kiungo katili mvunja kuni, mzee wa kazi chafu Yusuph Kagoma anapanda na kushuka huku akilitawala dimba kwa kubadili pozisheni mbalimbali.

Takribani dakika 40 za game zilituacha hoi.....au niseme ziliniacha mimi hoi zaidi, hakunipa muda wa kupumzika sana akanirudisha tena uwanjani , safari hii ilikuwa ni ndefu sana aliingia na mfumo wa kukabia kwa juu huku akikata kabisa mawasiliano ya viungo wangu washambuliaji na viungo wakabaji.....timu ikakatika ikapoteza mawasiliano nikabaki kucheza kwenye mfumo wake tu maaaaaamae, alinipeleka alivyotaka.

Zilikuwa ni dakika nyingi sana za mtifuano nikapitiwa usingizi mzito, saa 12 hivi asubuhi najikuta niko peke yangu, nguo na vitu vyake vyote havipo.....nikatoka hadi mapokezi kumuulizia, cha kushangaza akaitwa meneja nae akaniuliza eti "wewe ndio ulikuwa nae" nikakubali tu kwa kutikisa kichwa kama zoba.

Jamaa akavuta bahasha akanipatia kisha akaniambia kwa mdomo "amesema uhame hii hotel na usiyasahau aliyokwambia usiku".

Nikarudi room, cha kwanza nikachana bahasha nikakuta kuna pesa kiasi cha shilingi laki moja na kijikaratasi kidogo kimeandikwa mistari michache tu kwa mkono.

Kwanza ninakushukuru kwa huduma yako, ulikuwa ni usiku wangu bora sana, lakini pia hizi pesa nimewaambia wahusika wa hotel wakurudishie kiasi cha siku nne ulizolipia na uhame hotel hii utafute sehemu nyingine mbali na hapa, narudia kukumbusha kuwa utaendelea kubaki salama ukichagua kunyamaza.

Barua ikaishia pale na mimi nikaanza kujiandaa kufungasha kilicho changu ili nihame pale kama alivyosisitiza huku kichwani nikijiuliza kama alikuwa muuzaji kweli, jambazi au alikuwa kazini kwake.

Wakuu mnadhani alikuwa nani sasa huyu.
 
Una uhakika ilikuwa bastola?siku hizi tunatembea na toy za bastola😂
Ni bastola halisi kabisa, uncle wangu alikuwaga mwanajeshi na akilewa sio tatizo kwake kutufundisha hata namna ya kupakia risasi kwenye magazini 🤣🤣
 
Kwa hiyo unataka kusema wewe ndiye ulikuwa target yake?

Niache hapo.
Hapana sitaki kufikiria ivo japo naamini alikuwa na misheni yake maalumu, ila hisia za kibinadamu zilimzidi sana
 
KWANZA VIWANJA NI VILLA PARK RESORT...
HOTELI INAYOTAZAMANA NA UWANJA WA FURAHISHA NI ANNOX HOTEL...

huyo alikuwa ni carlos wa mjini.
 
Yaani unajiuliza jibu?
Hao ni majasusi wa Kagame.
Picha huipati tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…