Dada ni jina halisi la tatu la Idi Amini?

Just a theory,

Majina mengi ya viongozi yanakuwa si yao halisi bali ya kupewa/ kujipachika. Kwa mfano, Kenyatta lilitokana na "Kenya Taa".

Museveni lilitokana na baba yake Yoweri Museveni kuwa mpiganaji wa kikosi cha saba, hivyo "Museveni"

Jina halisi la Idi Amin ni Idi Amin Oumee

Brief History of Idi Amin Dada


Alternatively,

Kiingereza, neno "Dada" ni namna watoto wanavyomuita baba, yaani mtoto mdogo anaweza kumuita baba/ babu yake "Dada" badala ya "Daddy"/ Granddaddy, hasa watoto wale ambao hawajaweza kutamka maneno vizuri.

Idi Amini alikuwa mtu wa majigambo na alipenda kujulikana kama "Big Daddy".

Inawezekana akaja kuijumuisha "Dada" aliyopewa na "Daddy".
 
Wakuu salaam,
Kama mnavyojua kwamba Dada humaanisha ndugu mkubwa mwanamke.Sasa inakuwaje Idi Amini aliitwa jina la mwisho Dada?Je ni asili ya jina lake kweli au ni kejeli baada ya kumpa kichapo kizito?Wadau tujuzane.
Mkuu upo dunia gani? Wanubii hutumia jina kama majina yote ya kawaida DADA kwao ni jina maarufu.... Huko Barazil "kaka" ni jina kiume lakini hata waRussi hutumia kwa wanawake....AFU eti tulimpa kichapoo!! Soma historiya!! tena Fatilia matokeo...... afu ukishindwa ULIZA (?) siyo aibu kuuliza....!!
 

Dada si jina la kuzaliwa la Idi Amin, alipewa at some point later, thus it is a nickname.
 
Mkuu upo dunia gani? Wanubii hutumia jina kama majina yote ya kawaida DADA kwao ni jina maarufu.... Huko Barazil "kaka" ni jina kiume lakini hata waRussi hutumia kwa wanawake....AFU eti tulimpa kichapoo!! Soma historiya!! tena Fatilia matokeo...... afu ukishindwa ULIZA (?) siyo aibu kuuliza....!!

Hivi AFU ndio nini?
Ni neno la Kiswahili au kinubi??
Nauliza tu .....
 
Wakuu salaam,
Kama mnavyojua kwamba Dada humaanisha ndugu mkubwa mwanamke.Sasa inakuwaje Idi Amini aliitwa jina la mwisho Dada?Je ni asili ya jina lake kweli au ni kejeli baada ya kumpa kichapo kizito?Wadau tujuzane.

Jina hili alikatiwa alipokuwa akiishi kambi ya jeshi .kisa alikuwa analeta msichana kambini akiulizwa nina huyo anawaambia ni dada yake .akawa ni wengi tuu .kila anamleta analala nae kwake nakuondoka .akiulizwa anasema dada yake .ndio akapewe jina hilo la dada
 
_

yuko dunia gani kivipi?
...ameomba aeleweshwe unamjibu shudu?
...je wewe unajua historia ya Eid Amin?
...unafikiri kwa yeye DADA lilikuwa jina kama ilivyo kwa hao wanubi?
...naomba na wewe urudi kutafuta historia ikiwezekana husisha na wazee waenzi za vita ya kagera watakusaidia xana..
....period!
 
Dada si jina la kuzaliwa la Idi Amin, alipewa at some point later, thus it is a nickname.


Mimi nilivyosikia ni kuwa Iddi Amin hili jina la Dada alipewa siku moja jeshini
wakatu huo Uganda inatawaliwa na wakoloni Wazungu
Iddi Amin alifumaniwa na mwanamke huko jeshini
yeye akiwa kuruta tu bado..so mkuu wa kambi mzungu alipomuuliza
'who is this' Iddi Amini alijibu 'dada' ya kiswahili kama huyo mwanamke ni dada yake
so alipoadhibiwa kwa kosa hilo hao wazungu jeshini ndo wakawa wanamuita
Iddi Amin Dada kumtania kwa ishu hiyo...
 

Kuna quote nimeitoa na kuilink hapo juu (post number 5) inasema hivyo hivyo.
 

Yeah, hii ndio story ambayo hata mimi niliskia kuhusu IDD AMIN kutumia DADA, ktk majina yake!
 
 
Kwa majonzi na huzuni nawasikitika mashujaa wote waliyopoteza maisha na majeruhi wa nyumabni.... Lakini FYI, bila msaada kutoka Israel na US,Uengereza tusinge mshinda au kumpindua, Fact Mkuu alikuwa na bifu na hao jamaa kwa masaibu yake...Hivyo deni la vita yote tukabeba TZ hadi leo malumbukizo tunadoda kulipa trilioni nyingi... Tulisababisha shida kwa rai na balaa njaa nchini. ULIZA na TIME will TELL.....
alamsiki.
 
Jamaa alikuwa bwabwa alipokuwa jeshini...ndo maana akaitwa dada.
 
Jina lake rasmi aliitwa Idd Amin Kaidada.

Aliamua kufupisha hilo jina baadae akajulikana km Idd Amin Dada.

Hizo zingine ni porojo za mkahawani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…