Yani huyu mama anaonekana pendapenda wa viserngeti boy mbaya.cheki alivomlegezea macho!tumkemeeni hili pepo la ngono limtoke......
samahani anko..moyo wangu umekuangukia!
Duh! Hii sasa ndo kali zaidi maana naona imekaa ki-mahaba zaidi, na huyo bibi kimoyomoyo atakuwa anatamani Kamanda aseme neno moja na roho yake ipone. Ashindwe na alegee huyo bibi wa magamba.