mwenyenchi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 657
- 185
Usiniumize mara ya pili, nakupenda JJ..
Duh! Hii sasa ndo kali zaidi maana naona imekaa ki-mahaba zaidi, na huyo bibi kimoyomoyo atakuwa anatamani Kamanda aseme neno moja na roho yake ipone. Ashindwe na alegee huyo bibi wa magamba.