Daah ubachelor umenizidi jaman...

Akwangajika

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
30
Reaction score
30
Daaaah n kitambo kirefu jaman up to now m naishia kuangalia tu da way watu wakiwa na manzi zao wakienjoy maisha but m nipo alone jaman nifanyeje even 2 me i want jaman
 
Una umri gani...Halafu chunguza labda una kasoro
 
Labda mwandiko wako unakuponza. Unasoma darasa la ngapi?
 
Bado mdogo, ukikua utaweza. haya mambo huja naturally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…