Daah Mariam..!!

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
We Mariam umemfanya nini Chalii wa watu asee?!






@NgarenaroBoy
 

Attachments

  • Aah.JPG
    21.7 KB · Views: 54
Ukisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.

Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
 
Bora huyu hii tatoo yake inafutika after a week.
 
Ukisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.
Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
Nimekutana na Dingilii flani ivi ni Mtumishi wa Serikali,Yeye Kaandika'Shadeeya'
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mweeh!!
 
Ukisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.

Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
Akiachwa atajinyonga huyu
 
Hii saloon ilishiriki maonesho ya wiki ya viwanda SADEC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…