Hizo aniwekee kwenye chakula wakati tunafundishwa sikuambiwa zinawekwa chini!
ukiamua kunywa konyagi usichanganye na kitu ili u-feel the whole test of it! Vile vile safari lager inywe bila glass, so is the papuchi!
Pamoja na kuwa nimezoea kuona masikio, puani, au juu ya jicho na kitovuni lakini nikikiona kwenye ulimi huwa sishangai sana. Ila hi ya kuweka sehemu za siri kabisa kwenye utamu huwa inanishangaza sana.Kama ni urembo basi hii ni too much.
We washangaa kidani karibu huku zenji maku yafungwa nyororo/shanga ikizungushwa tratiib kwa nyonga huku nyonyo zikiwa na vipini,sikion hereni puani,ulimini,mdomo wa chini kwa mbele vipini,mguuni vikuku,vyote ivo kilo kadhaa,mwanamke pambo bhana
Hpn boss nimefikiria jins ambavyo urembo unaweza kumdhalilisha mtu halafu asijitambue afurahi kupendeza mungu atuongoze mada zingine na saumu ni mtihani