Elections 2010 Daa ni hatari kumbe kweli JK aliiba kura....

So tunaongozwa na MWIZI!

mbona slaa mwizi tena aibu iliyo kubwa ni mtu aliyekua katika maadili ya kiroho lakini alikuwa mchakachua wanawake yakamshinda na hatimae akanogewa na mke wa mtu mpaka akamuiba na bila aibu akawa anamnadi kwenye majukwaa sijui yule mama alimuwekea limbwata mpaka Dr akajisahau? mimi sijui ila kamshangae kwanza huyo.
ukimaliza huyo kawashangae wale viongozi wa kiroho ambao wamejifanya hawaoi hali ya kuwa Mitalimbo yao iko active sasa Jumapili huishia kuwachakachua wanawake walionona wanaoenda kuwatamanisha
 
Taratib basi unaturushia mate wenzio. Umepata dina kweli wewe? Manake hizi hasira ni za mtu mwenye njaa kali.
 
Haya kaka Nape tumekusikia! Una swali la nyongeza?

swali la nyongeza kwako sina ila kamuulize huyo anayedai kaibiwa muulize aliibiwa kura gani? mbona wanachama wake bado anao? mwambie awahesabu nchi nzima aone kama angeweza kushinda kwa kura. yeye ushindi alikuwa nao kwenye media siyo kwa wapiga kura.halafu nyani haoni kun...le, mbona naye mwizi tena mwizi mkubwa? kathubutu kuiba mke wa mtu?!!! wala huumii kwa hilo. ebu Mtamu jiulize wewe uibiwe mume wako utajisikiaje?huyo ndo tunatakiwa tumshangae kwani wanawake mko wengi,huenda wewe hujaolewa siungeenda akakuowa tu mtamu?
 
Napata mashaka na Akili zako mkuu, hv hv ubongo wako umeingia wadudu gani?
 
haya majungu kwa sasa hayana nafasi. leta post zenye tija na wakati uliopo.kwani hicho ni kilio cha mbwa aliyekosa,hubaki anabweka tu mbweko ambao haumsaidii boss wake.subiri ushuhudie muanguko wa ukweli kwa chama chako uchaguzi ujao.huyo mjeda huenda ulikuwa unaongea nae akiwa amepuliza msokoto wa bangi na likiwa linamkolea.jitahidi kuleta post zenye manufaa zaidi kwa mtanzania

kijana wa Nape kazini
 
Dr.G naona uko makini, na huyo uncle wako wa navy anaweza kuwa wa msaada mkubwa sana. Jitahidi uni-PM Force number yake kwa upelelezi huru dhidi ya tuhuma hizi, natanguliza shukrani zangu kwa ushirikiano wako.
 
ALafu story kama hizo watu wanaongea huku wana safari larger kichwani. Utadhani uchahguzi umefanyika jana . teh teh teh teh
 
kuhusu wizi wa kura kwa kutumia wajeda mbona ni jambo la kawaida,pia ni kweli maafande wa rank ya chini wanaichukia ccm kama ukoma lkn hawana namna ya kukataa kutii amri za wakubwa wao. Nakumbuka wakati wa uchaguzi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi mahali flani na nilipata wakati mzuri wa kuongea na maafande waliokuwa wanatoa ulinzi hasa khs mtazamo wao kisiasa, wengi walisema wamechoshwa na ccm na mpaka leo wanaendelea kufanya kazi kwa amri bila hiari yao.
 
mbona slaa mwizi tena aibu iliyo kubwa ni mtu aliyekua katika maadili ya kiroho lakini alikuwa mchakachua wanawake yakamshinda na hatimae akanogewa na mke wa mtu mpaka akamuiba na bila aibu akawa anamnadi kwenye majukwaa sijui yule mama alimuwekea limbwata mpaka Dr akajisahau? mimi sijui ila kamshangae kwanza huyo.
ukimaliza huyo kawashangae wale viongozi wa kiroho ambao wamejifanya hawaoi hali ya kuwa Mitalimbo yao iko active sasa Jumapili huishia kuwachakachua wanawake walionona wanaoenda kuwatamanisha

angekuwepo babu Seya jamvini angeeleza vizuri upande wa pili wa sh
 
Nimefurahi kumkuta mwanamke huku kwenye polics halafu haipendi ccm,big up dada,Back to topic;hakuna siri kuwa huyu mtu aliiba,lakini muda utaongea!!

wee vipi unauhakika na hizo data? Utajuaje kama hakuna wengine? Hizi nickname ni bandia tu mkuu. By the way, naungana nawe kuwa za mwizi ni arobaini, yatawakuta tu hao ccm.
 
Jk ni hatari sana hapa Tanzania yemwenyewe anajua kuwa hastaili kuishi pale magogoni lakini na shangaa baadhi ya watu wanavyo mtetea utadhani ni kina Ridhiwani hivi kumbe hata kikwete hajui kama wapo shame to you.
 
Habari ndio hiyo kamanda wizi ndani nje, ila sisi tuendelee kuimba ule wimbo wetu mzuri wa katiba mpya ndio kiboko yake. ili akiiba tena tumvishe tairi minilete Petrol umalize na kiberiti.
 
Back
Top Bottom