Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Nov 10, 2014 #1 Ni series zinazohusu uhusiano tata wa familia maarufu mji wa Florence ya Medici, Da Vinci na Pope wa Vatican. Ina base kwenye true history ikiwa imejaa ihalisia na kusisimua. Hii si ya kukosa !
Ni series zinazohusu uhusiano tata wa familia maarufu mji wa Florence ya Medici, Da Vinci na Pope wa Vatican. Ina base kwenye true history ikiwa imejaa ihalisia na kusisimua. Hii si ya kukosa !