Trump ni kichaa ...hahaha kakutana na wababe wenzake, sasa anapata wapi uhalali wa kumvamia muslim ayatola kwa kosa la kudili na waandamanaji? kaweka mpira kwapani.
D.Trump labda amepuuzia ukweli kwamba walioiweka islamic regime persia ni hao hao USA kupitia cia kwa kumpindua shah, hivyo adui anaye hapo hapo USA …
View attachment 3530120
Aliyepatikana ni huyo ambae ametawala nchi kws miongo kadhaa na bado analazimika kutumia bunduki kuendelea kusalia madarakani...
Naendelea kushangaa taifa la kidini limefikia mahali linaweka vitabu vya dini na kuanza kuuwa watu mnaficha aibu yenu kwa kumzingatia Trump.
Communists tena?...kwani bado hicho ni kitisho kwa Marekani?...sidhani, ila communists na muslims wameshaingia ndani kabisa ya mfumo wa west, ni kama hakuna matumaini tena …
Communists tena?...kwani bado hicho ni kitisho kwa Marekani?...
Kuhusu Muslims wapo miaka msingi sana hapo Marekani vipi wawe tishio?...
Yaani mkuu unaamini kuna wacommunisti Marekani ambao ni tishio kubwa kwa hiyo nchi kuliko wale 'white supremacists' ambao wengi wao ni mashabiki wa Trump?.its too complicated i guess, kuanza kuelezea what is communism, imeanzia wapi, nani ana-fund communism na lengo la communism ni nini …
Kuna Wasomali ambao Minnesota ndiyo kwao—hawajawahi kukanyaga Somalia!ndiyo, commumism na islam ni tishio la 21st century, wanakiwasha (communists) huko minnesota sasa hivi …
waandamanaji wa minessota hao pichani, jiulize msomali na hijab anaweza kumfanyia hivyo bashir wa kwao somalia?
View attachment 3530125
You guys don’t know Trump. Mchizi ni mtu wa visasi sana! Haya yote ni kujaribu kumkomoa Congresswoman Ilhan Omar (Msomali ambaye ni critic mkubwa wa Trump).yeah umesikia hela walizoiba huko USA lkn? …
You guys don’t know Trump. Mchizi ni mtu wa visasi sana! Haya yote ni kujaribu kumkomoa Congresswoman Ilhan Omar (Msomali ambaye ni critic mkubwa wa Trump).
Hakuna sababu ya kuamini kwamba Wasomali ndio wanaongoza kwa udanganyifu katika madai ya welfare benefits!
Hawajashikwa randomly. Wamekuwa profiled.lkn ndiyo wadanganyifu walioshikwa …