Wadau nimenunua hii gadget ili kushare mobile interent from 3g modem za Vodacom/Zantel ; haikubali .................................KLana iko ok kwani ndiyo nayotumia nikiweka adsl modem ya TTCL. Kulikoni na nini natikwa kufanya?
inawezekana ipo locked kama ilivyo modem...(router yangu ya d100 huawei pia ilikuwa ivyo na ilikuwa inaruhusu modem ya zantel tu butsasa hivi naweza wek modem yoyote baada ya ku unlock) . ili kuichakachua inabidi u search online kama unaweza kupata firmware updates ya hiyo router yako na maelezo yake...kwa kuanzia: http://www.dlink.com.my/support/support_detail.asp?idProduct=438
...kazi ni kwakoooo...